Sio kwamba nilikua na utoto.. Sema nilikua MD5!!
Mbishiiiii , ila nn, ukweli nikwamba Nanyie hampendi ukweli , kile kipindi alikua mnachukia sana mada zangu.
Nakumbuka nilifunguaga Uzi, kwenye ule Uzi nikasema " Hawa ndio wanawake naowakubali JF"
Aiseeee mlikuja mkanishambuliaaaaa balaaa
Kuna ule Uzi, nilikuaga natuma vipi cha vya katuni, naandika najina... Huyu ni Kapeace... Huyu ni Jjes ,huyu nani...
Maninaaa ,mkaja mkauvalia njugu ule Uzi, mlinipondaaaa vibayaaaa ,ndo hizo hizo wiki ,Mbityaza akaliamsha.