Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Mkuu unaweza kunisogezea uzi uliomuumbua huyu mdada maana nilikuwa namkubali sana.Alijifanya google kila kitu anajua alaf kila nchi anampango wa kwenda mbaya zaid akawa anajiona mpambanaji kuliko wana JF wote sasa kilicho mkuta tulijua hadi lodge aliyoenda kugegedwa mara ya mwisho kumbe anaishi kwa ujuzi wa katikati ya miguu
Hata wewe ukinguwa utaanikwa tu.Ongeeni na hao Wanaume wenzenu.. sijui tuwaite vijana...Mwanaume anayejielewa hawezi kufanya ule upuuzi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu na wewe uanikwe[emoji39][emoji23]
mm pamoja na sura chafu ila siogopi chochoteDemis walimlipuaga humu wakaanika picha zake,nadhani ni mwalimu huko dodoma.
Sasa picha zake sura ina pua kubwa" kweri kweri", wana wakawa wanaponda,akaonelea abadili ID ,akajiita muzine,hata hivyo imepoa. Au ana ID nyingine ambayo hatujaigundua.
Kwani we ndo demiss?mm pamoja na sura chafu ila siogopi chochote
😂😂😂Umeona godoro lilivyolowana lakini [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio, Ila nimesemea tu kuwa mm pamoja na sura yangu chafu ila nimeizoea na naona kawaida tu hata ikijadiliwa sana sana ni uniquenessKwani we ndo demiss?
Wewe ni modKwa hiyo watu wanatafuta watu humu then wanawaleta tena humu. Hiyo cycle nitakuja kumpiga mtu lifelong ban humu
KahHuyo ni account yake nyingne ni beef lasagn
NdioWewe ni mod
Wewe unafanya"What happens in las vegas stays in las vegas"..... Mkishavuana nguo mnapaswa kulindana na kufichiana aibu, no one is perfect hata ikiwa ni nje ya humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We huitaji kukojoleshwa best?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Best acha basii najua wewe sio mgeni namimi kwenye hayo masuala [emoji12][emoji12]!We huitaji kukojoleshwa best?
[emoji23][emoji23][emoji23] Mambo yako hayo best na najua hapo ki c.... Kishaanza kupwitapwitaBest acha basii najua wewe sio mgeni namimi kwenye hayo masuala [emoji12][emoji12]!
Hihihihihihi unajua venye napenda best!!! Hio kitu acha kabisa!!![emoji23][emoji23][emoji23] Mambo yako hayo best na najua hapo ki c.... Kishaanza kupwitapwita