Mimi ni baba bora na mume mujarab kwa mamaenu ndio maana tumedumu...shenz taip..🤨Mh familia yetu iombewe😂🤔
Sema mzee pocket money ihusike, Nisije mzungumzia mwa j kipindi tuna kula 😄Mimi ni baba bora na mume mujarab kwa mamaenu ndio maana tumedumu...shenz taip..🤨
Hahahaha..Mtani makaburi yangu yanalindwa na mizimu la sivyo ingekuwa leo hii tunaongea mengine.. Kati ya watu waliowindwa sana JF waangushiwe jumba bovu mimi ni mmojawapo[emoji23]
Kuna baadhi ya matukio huwa nikiyakumbuka[emoji848][emoji2827]Nabaki kusema Mungu asante..![emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Ni mizimu OGMizimu iko vizuri [emoji23][emoji1][emoji1787]
Take it positive madamLiuzi la 2021 mtu unalifukua, unataka nini?