Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Mtani makaburi yangu yanalindwa na mizimu la sivyo ingekuwa leo hii tunaongea mengine.. Kati ya watu waliowindwa sana JF waangushiwe jumba bovu mimi ni mmojawapo[emoji23]
Kuna baadhi ya matukio huwa nikiyakumbuka[emoji848][emoji2827]Nabaki kusema Mungu asante..![emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahaha..

Nimemmiso vituko na hekaheka za chamdeko lols!


cc Smart911
 
Back
Top Bottom