Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Alijifanya google kila kitu anajua alaf kila nchi anampango wa kwenda mbaya zaid akawa anajiona mpambanaji kuliko wana JF wote sasa kilicho mkuta tulijua hadi lodge aliyoenda kugegedwa mara ya mwisho kumbe anaishi kwa ujuzi wa katikati ya miguu

Dooh Aiseeee Inasikitisha sana.
 
Kuna mdau juu kashaeleza , kuna jamaa ndiyo alikuwa anafanya naye matusi sasa sijui walizinguana nini akaja kuanikwa humu na picha zake na info zake yeye ni nani...uzi ulikuwa na page za kutosha.

Humu ndani siyo.
Laaaa laaaaah, Dah huyo jamaa kafanya vibaya sana aiseee, Yan humu wenye upendo ni wachache sana aisee.
 
Hahahahahaaa, JF katika ubora wake.
Alijifanya google kila kitu anajua alaf kila nchi anampango wa kwenda mbaya zaid akawa anajiona mpambanaji kuliko wana JF wote sasa kilicho mkuta tulijua hadi lodge aliyoenda kugegedwa mara ya mwisho kumbe anaishi kwa ujuzi wa katikati ya miguu
 
Wapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari, maziwa na mito ipo teleeee.

Poleni wale wenye simu changamoto za battery, sisi wa simu original tunapeta tu.


Nauliza member mwenzetu Demiss amekuwa kimya imekuwaje? Amepotelea wapi? Wanaomfahamu please details tafadhari.

Wengine waliopotea humu ni;
1. massai dada
2. mama facebook
n.k
ongezea na @manengelo
 
Jamani humu ndani mtu akilala na mtu si ameamua tu, sasa watu inawauma nini [emoji38]
Inashangaza sana..
Na wanaoyaleta wengi ni jinsia ya ME ni mara chache sana KE kuleta mambo kama haya humu..

Kuna huyo mpuuzi mmoja huyo nasikia yeye akishamkula Mwanamke humu akafanikiwa kupata mwingine tena JF kazi aliyonayo ni kumpondea au kuwapondea wote aliokuwa nao kwenye mahusiano..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom