Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Ninakupenda sana mpenzi, siwezi kukufanya baya[emoji7][emoji7].Hapana kuna majaribu tu yalinipata lakini kwa kuwa umelishika limoyo langu nikagoma kumfuata shetani.
Leo nitalala macho huchelewi kuninyongelea mbali nikisinzia au kunimwagia maji mama chanja [emoji3]