Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Thubutuuuu ten kama wee na uzee huooo itabidi nibebe kabisa ma RL, D5

Kwaajili ya kukuongezea Maji na sukari

Usijeee kunifiaaa kitandani mamaeee


Sasa kama MTU kukojoaaa naanzia dakika 40+++ mpaka lisaa usheee

Hiyo ligi unaiweza????? utakufaaa maninaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3]hujatulia weweee...!hujaacha utoto kumbe!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mkuuu tugange yajayo.

Ila kama utahitaji nimuelezee kwa uchache

Nitatumia maneno matano tu [emoji116]

Wangari ni Malaika aliyetoroka Mbinguni.


Kama ni Kwa emoji ,ningetumia mbili tu[emoji116]

[emoji24][emoji8] !! ( yaan ni mwanamke anayeweza kua chanzo cha Machozi, nabado akawa yeye pekee wakukufanya UCHEKE.).
We mwamba ulimzimikia huyu manzi...daahh!yaani unatamani siku zirudi nyumaa[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]pole sana!!!utapata mwingine

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Wanasema wanawake from 30 and above ndo wanainjoy mapenzi...!!ila dogo tafuta ligi zako bwana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ni watam kweli kweli, yaani ndio maana mimi ukinipa chini ya hapo nitakuangalia na kukuambia hiiiiiii!
 
Ila uzi wa @rickboy una ushetani mwingi sana. Yaani mtu kapapasa mbwa kakuta ana joto anarespond positive kamla. Daaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom