Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Chuma alichompiga nacho hiki hapa.
_____
comment yangu,sijataja mtu,ila umejishitukia kuwa hizo ndiyo tabia zako,sasa ngoja nikupe ushaidi!

Wewe binti ni mtu wa ajabu sana! Nikianza kukuanika upuuzi wako hapa tunaweza kukesha!

Mimi nakujua kupitia kwa rafiki yangu mmoja hivi yuko dsm! Mara ya kwanza kabisa mlikutana morogoro sehemu moja inaitwa 88,mara ya pili mlikutana kibaha,mara ya tatu dsm! Huyo jamaa ni polisi lakini ana kazi nyingine, ana gari nyeusi aina ya Kluger, Na alikua anakufatilia kuhusu upuuzi wako wakuitukana serikali,na walipoona your not a threat walikuacha tu! Tena mara ya kwanza walikuita kule nane nane,kwenye majengo ya ufichoni sana,bila kujua na wewe ukaenda kweli! Jamaa alikufirimba na mwisho wa siku,akakuuliza gari umeacha wapi,mara ohh sijui gari imeisha mafuta nimeacha sehemu furani!

Basi yule bwana alipokuona huna maana alikuacha,akampa rafiki yake number zako,wewe si ulikua unatumia line ya tigo ya 0713 inaishia na 96?? Yule jamaa alikupigia simu,mkaongea then ukaomba nauli utumiwe kwamba ukimaliza kufua,utaenda,ukala pesa za watu bila hata ya kwenda! Ukaomba pesa za birthday ya mtoto wako! Ukatumiwa! Leo hii unaleta shobo hapa!

Kila siku unajifanya una maisha ya maana,kumbe choka mbaya tu,unashindwa kulipa hadi pesa za house girl wako,nyumba unaishi hata haijaisha,ndoa yako migogoro kila siku,shule hukumaliza,ulipigwa mimba,huyo kaka alikuacha sababu ya vituko vyako!

Eti nina mashimo ya migodi kakola! Hivi huoni hata aibu kudanganya,watu walishaanza kufatilia nyendo zako toka zamani,huna cha mashimo wala nini,Baba yako alikupa pesa ili walau mtoto wake usipate shida mjini,ukaenda kununua hivyo vifusi vya mchanga huko mgodini,uwe unasaga mawe, biashara haikuenda vizuri,mkafunga na hamkupata pesa hata kidogo,ULIVYO WA HOVYO,ukaenda kudanga kwa jamaa mmoja siwezi mtaja jina,naye biashara ikabuma,ukarudi nyumbani huna hata mia!!

Jamaa yangu juzi kakuona pale stand msamvu,huna mbele wala nyuma! Halafu eti unajitia fyoko fyoko hapa! Huna lolote wapige kamba wasiokujua! Na sasa hivi una number ya Airtel na halotel! Mme wako alishakufumania mara kibao,alishawahi kukupiga nusura ufe! Hebu acha shobo tukutunzie heshima yako! Watu walishaenda hadi kwenu ifakara kwa baba yako Mzee Ben! Naomba niishie hapa!
duuuh, makubwaaaaz tujitahidi kujiheshimu itatusaidia sana jaman
 
Kwenye huo uzi kuna kijana alikuwa analalamika kuna mtu kamchomesha mahindi kwa kumwambia atafute passport then huyo jamaa ampe kazi sijui ya kwenda na mafuso Zambia huko..Kijana akatafuta passport lakini alipofanikiwa kuipata passport yule aliyemuahidi atampa kazi akatokomea kusiko julikana na akawa hapatikani kabisa hewani..

Kijana akaleta uzi wa kulalamika na kushauri watu kuwa kama huna nia ya kumsaidia mtu basi usimtese huku unajua huwezi kumsaidia..Kina Wangari na wengine wakaanza kumnang'a kijana na hapo ndo watu walichukia kwa kuona ni kama anatetea utapeli na kufikia kudhalilishana kama jamaa alivyofanya hapo juu..

And mind you kijana alisema alitumia savings zake zote kupata hiyo passport ambayo haikuja kumsaidia lolote.
jaman, it wasn't nice kwa kweli, watu tujaribu kuwa waangalifu kwa kweli kama huwezi msaidia mtu basi usimuumize
 
Yes wewe mrembo wangu rangi ya dhahabu, kila sekta umejaaliwa kwa kweli. Pongezi za dhati kwako
usichanganye nianze kufurahi kumbe umemsifia mwenzangu,,,ya nini kutuunganisha halafu useme mrembo wako

nani sasa jaman
 
Back
Top Bottom