Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Asubuhi ya Leo NMB wamecheka hivyo naanzaje maisha kama hivi.
Jamani mm sitaki stress kuanzia Leo mm ni Team Kiduku Lilo
Atakayenionea wivu huyo mchawi maana hapendi mwanamke nijitume niwe na maendeleo.