Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Demiss baada ya kupokea Salary ya August 2019!

Kumbuka kodi ya nyumba , mtungi was gas, mchele, unga, maharage, sukari n.k

Ukiona hivyo "keshalipia" one way or the other. Unashawishi mtu fulani sio tu asiongeze watu mishahara bali aipunguze hata hiyo iliyopo.
 
Nimeangalia huo msosi. Chips mayai kwa supu ya kuku!! Tunatofautiana
 
naona na dawa ya kikohozi pembeni kwani unakohoa mkuu!?
 
Back
Top Bottom