[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] mwana nyamala usilieLahaula.....
Naona umeamua kuwasapoti wana Jf wanaonisema vibaya mimi matumishi wa Mungu.
Yaani naapa, sinawahi kbahatika kukutana na Ke yeyote wa humu Jf....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Ohooo ila ngoja nilikuwa na swali nadhani nitakuja kumuuliza yeye maana nikiuliza hapa nitaaribu uhondooSana tu tena ni mzee wa kanisaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema kalifanya jukwaa linoge,
Mm nilikuja kwa ajili ya story za kilimo na biashara lakin najikuta kwenye nyuzi zake
MwaaaLove uu maaaaa
Hallelujah.....Mxeeew wewe mzeee huna maana
Wallah nasingiziwa tu mkuu, maana nilivyo na dam ya kunguni.... Basi huwa sijibiwa hata PM ya salam....π©π©π©Hahahah sema kweli wanakusingizia
Inauma sana mkuu, yaani watu wanajikula laivu wakati mie nakula kwa macho tu...π©π©[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] mwana nyamala usilie
Hata mm leo nina raha kuna mtu kaniletea Pizza nafungua nakutana na bonge la zawadi naomba nikupe kidogo pizza uonje babuHallelujah.....
Jumapili yangu imekua yenye upako
Huku kwetu tunakulaga ugali, na siajabu ukinigawia Pizza inaweza ikanitoa ushamba... tehteehhhHata mm leo nina raha kuna mtu kaniletea Pizza nafungua nakutana na bonge la zawadi naomba nikupe kidogo pizza uonje babu
Kuna x wangu mmoja nilimuamini sana ila aliniletea pizza akanipiga na kibuti ila hii pizza ya leo imekuja na zawadi ya maisha ndo maana nikaona vema nikakugaia babu yangu upate kunipa barakaHuku kwetu tunakulaga ugali, na siajabu ukinigawia Pizza inaweza ikanitoa ushamba... tehteehhh
Ukuwe na amani tele mkuu, na ninakusihi utunze sana zawadi yenye umeletewa, kwani kheri ya anae kukumbuka kwa zawadi ya pipi, kuliko unae muomba zawadi ya gari.........Kuna x wangu mmoja nilimuamini sana ila aliniletea pizza akanipiga na kibuti ila hii pizza ya leo imekuja na zawadi ya maisha ndo maana nikaona vema nikakugaia babu yangu upate kunipa baraka
Nashukuru mganga niliyempata japo kaniletea zawadi ya pizza inaonekana na yeye anapenda pizza kama x wangu.Ukuwe na amani tele mkuu, na ninakusihi utunze sana zawadi yenye umeletewa, kwani kheri ya anae kukumbuka kwa zawadi ya pipi, kuliko unae muomba zawadi ya gari.........
Lakini, kidogo nimesikitika kuona mwanaume anampiga kibuti mtoto mtamu kama wewe, kama vipi ebu uje PM tuone tunafanyaje, na kama ikiwezekana nifungue roho mie.... tehteehhh
Huyo anapaswa kusamehewa Bibi, kumbuka unapo samehe pia Mungu anakubariki kwa kukupa mwingine mwenye anaweza akawa bora, mwema tena mwenye upendo kuliko hata yule XNashukuru mganga niliyempata japo kaniletea zawadi ya pizza inaonekana na yeye anapenda pizza kama x wangu.
Alizani akiniacha sitasonga mbelee au?
Huyu anafaa adhabu gani eti babu?
Aliniboa sana kwa sababu anang'ata na kupuliza naanzaje nisamehe?Huyo anapaswa kusamehewa Bibi, kumbuka unapo samehe pia Mungu anakubariki kwa kukupa mwingine mwenye anaweza akawa bora, mwema tena mwenye upendo kuliko hata yule X
Toba..... π³ π³ π³Aliniboa sana kwa sababu anang'ata na kupuliza naanzaje nisamehe?
Kwani Bibi, huyu X hajawahi kukutenda jema hata moja...!!??Aliniboa sana kwa sababu anang'ata na kupuliza naanzaje nisamehe?
Paaah unamuonea hurumaToba..... π³ π³ π³
π³
Hadi roho yangu imefanya Pahh....
Nilitaka kumlipa mema aliyonitendea ila yeye hakulijua hilo akaamua kusepa huku kaniachia pizzaKwani Bibi, huyu X hajawahi kukutenda jema hata moja...!!??
Maana kwajinsi ulivyo na hasira juu yake, hadi mdomo wangu umebaki wazi wallah....