Demiss (chamdeko) Miss chitchat 2018?

Demiss (chamdeko) Miss chitchat 2018?

Lahaula.....
Naona umeamua kuwasapoti wana Jf wanaonisema vibaya mimi matumishi wa Mungu.
Yaani naapa, sinawahi kbahatika kukutana na Ke yeyote wa humu Jf....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] mwana nyamala usilie
 
Huku kwetu tunakulaga ugali, na siajabu ukinigawia Pizza inaweza ikanitoa ushamba... tehteehhh
Kuna x wangu mmoja nilimuamini sana ila aliniletea pizza akanipiga na kibuti ila hii pizza ya leo imekuja na zawadi ya maisha ndo maana nikaona vema nikakugaia babu yangu upate kunipa baraka
 
Kuna x wangu mmoja nilimuamini sana ila aliniletea pizza akanipiga na kibuti ila hii pizza ya leo imekuja na zawadi ya maisha ndo maana nikaona vema nikakugaia babu yangu upate kunipa baraka
Ukuwe na amani tele mkuu, na ninakusihi utunze sana zawadi yenye umeletewa, kwani kheri ya anae kukumbuka kwa zawadi ya pipi, kuliko unae muomba zawadi ya gari.........
Lakini, kidogo nimesikitika kuona mwanaume anampiga kibuti mtoto mtamu kama wewe, kama vipi ebu uje PM tuone tunafanyaje, na kama ikiwezekana nifungue roho mie.... tehteehhh
 
Nashukuru mganga niliyempata japo kaniletea zawadi ya pizza inaonekana na yeye anapenda pizza kama x wangu.

Alizani akiniacha sitasonga mbelee au?

Huyu anafaa adhabu gani eti babu?
 
Nashukuru mganga niliyempata japo kaniletea zawadi ya pizza inaonekana na yeye anapenda pizza kama x wangu.

Alizani akiniacha sitasonga mbelee au?

Huyu anafaa adhabu gani eti babu?
Huyo anapaswa kusamehewa Bibi, kumbuka unapo samehe pia Mungu anakubariki kwa kukupa mwingine mwenye anaweza akawa bora, mwema tena mwenye upendo kuliko hata yule X
 
Aliniboa sana kwa sababu anang'ata na kupuliza naanzaje nisamehe?
Kwani Bibi, huyu X hajawahi kukutenda jema hata moja...!!??
Maana kwajinsi ulivyo na hasira juu yake, hadi mdomo wangu umebaki wazi wallah....
 
Back
Top Bottom