Mambo nyani jana nilipotea angani nikasahau mieleka ya Finn balorCoco....mambo?
Mahaba kama yoteee hiii [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji31] [emoji31] [emoji38] [emoji38] kanipa yote[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwambie akae mbali na Ngabu na Asprin... [emoji23]Hahaaaa. Kwako Utundu azidishe tu kwa kweli Shem [emoji85] [emoji85] ila kwa watu wengine nitamkalisha chini nimwambie, tena hata sio mbali kesho tu sababu nina mpango wa kuonana nae. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39]mahaba kama yoteee[emoji16][emoji16][emoji16] yote ndio nini.. unajua utamu wa uondo huo ikinogile huwa hakuna kumaliza yote..
Natumaini umeletewa na chai kitandani..[emoji6] maana leo eeeeeh
[emoji85] utam wa shok shok... Ladha yake nyama tupu [emoji39] [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] yote ndio nini.. unajua utamu wa uondo huo ikinogile huwa hakuna kumaliza yote..
Natumaini umeletewa na chai kitandani..[emoji6] maana leo eeeeeh
Hahahaaa. Zimefika Shem.Mwambie akae mbali na Ngabu na Asprin... [emoji23]
Asante dada nashukuru kwa hiloHahahaa. Ila Shem si kwa jigazeti hilo jamaani. Lol.
Na kwa hayo uliyoyadadavua hapo sio mbaya akapewa huo umiss Chit Chat kwa mwaka 2018.
Yupo juu mdogo wangu Chamdeko. Kila la kheri kwake.
Hahaha jaman sukari!!Apewe tu kwani kajua kufunika. Japokuwa hawezi pendwa na wote hivyo na wale wapingaji pia uwategemee Shemela.
Hawachelewi kusema kwa kuwa ni Sukari yako basi ndio sababu unaimwagia misifa. Teh teh.
Nampendaga Taraji. Nawe unampendaga?
Bado nakumbuka Oscars za 2006...she killed it.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]♫♫♫♪♪♫♫♫Hahaaaa. Kwako Utundu azidishe tu kwa kweli Shem [emoji85] [emoji85] ila kwa watu wengine nitamkalisha chini nimwambie, tena hata sio mbali kesho tu sababu nina mpango wa kuonana nae. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji876][emoji876][emoji876][emoji876]Mwambie akae mbali na Ngabu na Asprin... [emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39]mahaba kama yoteee
Mwambie akae mbali na Ngabu na Asprin... [emoji23]
Nimevaaa [emoji876][emoji876][emoji876][emoji876]simuoniHahahaaa. Zimefika Shem.
Japo kwa babu Asprin hapo ndio mtihani maana kale kazee kana kila aina ya maneno yaani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hadi raha kuangalia tena.. miaka sasa
Ndio jamani nampenda.. na hivi kavishwa na pete juzi juzi hadi raha
Ila Ngabu kausha tu jua bado nasubiria ile Chanel.. ilikuwa begi au?😆
Hahahaha usiniambie mahaba kama yote mm ndo nimeyawekea limbwata kwako [emoji23][emoji23][emoji23]Yote kama yote! Tena sharp kwa haraka... Watapata tabu BIG TIME[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ntakaroga tena... Wee kaache kalete ujuaji tena[emoji35] [emoji35] [emoji35]Hahahaaa. Zimefika Shem.
Japo kwa babu Asprin hapo ndio mtihani maana kale kazee kana kila aina ya maneno yaani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]