Demiss (chamdeko) Miss chitchat 2018?

Demiss (chamdeko) Miss chitchat 2018?

Hahaaaa. Kwako Utundu azidishe tu kwa kweli Shem [emoji85] [emoji85] ila kwa watu wengine nitamkalisha chini nimwambie, tena hata sio mbali kesho tu sababu nina mpango wa kuonana nae. [emoji12] [emoji12] [emoji12]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwambie akae mbali na Ngabu na Asprin... [emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] yote ndio nini.. unajua utamu wa uondo huo ikinogile huwa hakuna kumaliza yote..

Natumaini umeletewa na chai kitandani..[emoji6] maana leo eeeeeh
[emoji85] utam wa shok shok... Ladha yake nyama tupu [emoji39] [emoji3]
 
Apewe tu kwani kajua kufunika. Japokuwa hawezi pendwa na wote hivyo na wale wapingaji pia uwategemee Shemela.

Hawachelewi kusema kwa kuwa ni Sukari yako basi ndio sababu unaimwagia misifa. Teh teh.
Hahaha jaman sukari!!
 
Hahaaaa. Kwako Utundu azidishe tu kwa kweli Shem [emoji85] [emoji85] ila kwa watu wengine nitamkalisha chini nimwambie, tena hata sio mbali kesho tu sababu nina mpango wa kuonana nae. [emoji12] [emoji12] [emoji12]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]♫♫♫♪♪♫♫♫
 
Hahahaaa. Zimefika Shem.

Japo kwa babu Asprin hapo ndio mtihani maana kale kazee kana kila aina ya maneno yaani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ntakaroga tena... Wee kaache kalete ujuaji tena[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom