Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Morning?
Asprin yupo gerezani hata la kuandika humu JF inabidi apewe ruksa na yule mmama.. analia kimoyo moyo eeeeeh majuto
Ngabu anatanua amekuwa kimya naona labda karudi huko PM kuwapa maneno matamu mademu
Demiss wangu nimekumiss mnooo lol
Hahaha nmefurahi asubuhi asubuh kukuta ka Uzi kanachokukubali kama ww uko safi
Mi hata sijaelewa yote nini[emoji144] [emoji144][emoji31] [emoji31] [emoji38] [emoji38] kanipa yote[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unajua ntasitisha ile ofa yangu ya makange?Hahahaaa. Zimefika Shem.
Japo kwa babu Asprin hapo ndio mtihani maana kale kazee kana kila aina ya maneno yaani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Chaa"Mihela[emoji3] [emoji3] ulizani nini?
Kwenye ile avatar ya mapengoHahahaha jaman usemi wangu huo umekwiba wapi mkuu?
Pouwa mambo yakoClkey mambo
Kama kikombe cha kahawaLove u rafiki yangu wa faida tunagombana tunapatana
Macho kama nn vile?
Pouwa mambo yako
Acha tu myNaona upo busy kweli kweli,
Nampendaga Taraji. Nawe unampendaga?
Bado nakumbuka Oscars za 2006...she killed it.
Acha tu my
Zaidi ya busy khaaa
Hata muda wa hapa nakosa wakati mwingine