Demiss (chamdeko) Miss chitchat 2018?

Demiss (chamdeko) Miss chitchat 2018?

She is my sweetest bean... Though sitampa airtime hapa regarding her sweetness! [emoji7] [emoji8] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Nampa airtime kwa jinsi alivyoweza kwa uwezo utundu (hauzidi ule wa kunako 6×6) na umahiri wa ajabu kuleta post zilizobamba chitchat kuanzia January, japo kuna wakati baadhi ya post zake hizo zilimsababishia vifungo mfululizo... But she has managed to go through [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
She has guts! Anaandika anachoamini.. Anaandika kinachomfurahisha... Anaandika hisia zake na haogopi utazitafsirije... She is kind of an extrovent...! Hukumfanya apige mayowe... Atakuchana tu live[emoji87] [emoji38] [emoji31] [emoji85] [emoji85]... Haogopi japo ana staha sana... All in all in serious note... Ameip CHITCHAT uhai na airtime ya kutosha... Mshindani mkuu wa CC, MMU kwasasa kabaki muhenga hapumui mbele ya CC

Mwaka 2012 charminglady alikuwa nominee wa malkia wa chitchat... Na ALISHINDA [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji322] [emoji322] [emoji323] [emoji323] ..... Mwaka 2018 chamdeko anachanja mbuga.....
Hata kama tuna tofauti zetu na Demiss.... Lakini penye credit.. Tumpe zile anazostahili

View attachment 820790
Nitahesabu kura, hata goli la kisigino nitafunga tu...
 
Back
Top Bottom