[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji27] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] NAHUJA ntake lazi loh...Eeeeeeee Kweli umepewa hadi "vya uvunguni" hongera sana Demiss hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili. Leo umetoa ufundi wako wote, kakupandishia uzi, endelea mama, mwishoe utatoka na "hama" mpyaaa. tehe tehe tehe tehe tehe
Hahahaha haya bhn nashukuruHahaha, km kawa, tusiharibu Uzi ,nilikua natoa pongezi zangu tu na Mimi
Siongei sana maana mganga anazunguka zinguka hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha haya bhn nashukuru
Siyo la juu juuUmenipiga dongo la chini chini hahaaa
Kuna mtu kakunukuuMkuu, ujue kuchamba kwingi... Kutakufanya ushike mavi.... tehteehhh[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeitika mkuu....
Ewaaaaaahkuna anga ukipita inabidi uwe mpole tu... haziitaji ujuaji
Hahahaha sana kipaji ninachoHahaha unazipatia sana mada chonganishi
Hahaha uchocheziNitahesabu kura, hata goli la kisigino nitafunga tu...
Ngoja namimi niweke avatar yenye muwani... tehteehhhSamaki bila chambo humnasi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja namimi niweke avatar yenye muwani... tehteehhh
Ndugu mjumbe, samahani kidogo nimechelewa kuleta picha....Huyo huyo Demiss anaetumia kibomba cha chooni ama...?
umekosea ni hiki hapoNdugu mjumbe, samahani kidogo nimechelewa kuleta picha....
Naomba kuwasilisha...[emoji30][emoji30]View attachment 821108