Demiss (chamdeko) Miss chitchat 2018?

Demiss (chamdeko) Miss chitchat 2018?

Hivyo vidubwasha...

Hapo naona kuna mdada anacheza

Kuna kufuli.

Halafu kuna chumu.

Nimepatia eeh?

Ha ha haaaa
Usingizi umekulamata nini...

Yes mdada anacheza

🤣🤣🤣🤣🤣 kufuli la pink looooo.. ndio umekimbia naona kuijanja kuiita handbag eti kufuri.. looooo.. basi nitasubiria la bei za chini below alfu moja.. nisikose kabisaaaa eeeeeh
Mwisho ni ka nakushukuru na busu tamu..

😣😣😣
Halijafanya kazi naona
 
Weka na kapicha kake wengine hatumfahamu bhana... Mbona huyo mwingine umeambatanisha na picha yako.
unafaa sana kwa promo maana umeona watu hawamtendei haki bora ukajilipua mwenyewe sasa
 
Back
Top Bottom