Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeh!wananikeshesha hapa!mfyuu zao!!

Wamtajee....tulale
Au wanamuogopa.
Watuletee sisi tukeshe nae usiku huu.
Na hivi hapa nilipo ni singo maza, basi hata wa kunibugudhi usiku huu hamna.

Ila pengine wametajiana Pm
Maana humu kuna mabingwa wa kutembeleana Pm.
 
Au wanamuogopa.
Watuletee sisi tukeshe nae usiku huu.
Na hivi hapa nilipo ni singo maza, basi hata wa kunibugudhi usiku huu hamna.

Ila pengine wametajiana Pm
Maana humu kuna mabingwa wa kutembeleana Pm.
Hahaaa!! Wanamuogopa itakua

Single mothers hawana wabebi wa kuwabebisha !!!

Wamtaje tumkeshee hapa!!
 
Huu uzi huu, ngoja nipige mafunda mawili nione kama bado nitatumia akili za kuambiwa au zangu.

Babu unatusubirisha aisee...

Mkuu kuna swali la Madame B hapa chini linasubiri jibu lako mkuu; unamwogopa huyo mtu?

Au wanamuogopa.
Watuletee sisi tukeshe nae usiku huu.
Na hivi hapa nilipo ni singo maza, basi hata wa kunibugudhi usiku huu hamna.

Ila pengine wametajiana Pm
Maana humu kuna mabingwa wa kutembeleana Pm.
 
Wewe kazi yako nini haswa?
Au Kufatilia nani yuko online?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…