Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Ila wewe ni jeshi kubwa la makomandoo na ma-spy tu!
Kama vipi mwaga mboga
Mimi peke yangu ndo mpaka sasa ndo naijua main id ya mleta mada ila hao wote uliowataja ni wapole, wastaarabu hawajui kuchamba hawana maneno hata ila ungewataja wakina fudenge na ninavyokujua mleta mada mngechambana balaa ingekuwa bonge moja la movie.
Ila hao hata ukiwatia kidole cha jicho wananyanyuka wanaendelea na yao.
 
Back
Top Bottom