Mimi peke yangu ndo mpaka sasa ndo naijua main id ya mleta mada ila hao wote uliowataja ni wapole, wastaarabu hawajui kuchamba hawana maneno hata ila ungewataja wakina fudenge na ninavyokujua mleta mada mngechambana balaa ingekuwa bonge moja la movie.
Ila hao hata ukiwatia kidole cha jicho wananyanyuka wanaendelea na yao.
Amina.Sure, nimepokea.
Labda kama nilikutongoza kwa ID nisiyoijua. Zile tatu nizijuazo ntaanzia wapi kukutongoza ShemejiAfu ile Id ishawahi kunitongoza uju.
Ukaniita sehemu baada ya kugundua ni wewe, nikajikataa.
We babu utafia kinenani
Kisa?Hahahaha, acha nicheke kwa dharau Sana
Shemeji ilikuwa zamani.Labda kama nilikutongoza kwa ID nisiyoijua. Zile tatu nizijuazo ntaanzia wapi kukutongoza Shemeji
HahahahaKisa?
Shemeji unataka nikuambukize maradhi?Shemeji ilikuwa zamani.
Unadhani mie sikutaki?
Mie sina nenoShemeji unataka nikuambukize maradhi?
Staki dhambi. Dadaako ananitoshaPoa tu.
Mie sina neno
Mshamba weStaki dhambi. Dadaako ananitosha
Potelea mbali ... najua nachopewaMshamba we
Sina maana yoyote wifi yangu wa wiki iliyopita usijali.
Hivi unajua kuwa nduguyo keshanimwaga?[emoji53]
Kama kile hata mie ninacho.Potelea mbali ... najua nachopewa
Kwa usemi wako huu wifi, una maana gani?
Tusubiri wote shemNasubiri jibu pia
Cha kwake nimekifungua mwenyewe. Niache nitulieKama kile hata mie ninacho.
Potelea mbali na wewe
HahahahaCha kwake nimekifungua mwenyewe. Niache nitulie