Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Wameolowa na ma mod... hivyo ni kina mrs mods.

Vipi wewe hutaki kushinda huku nikuunganishe na mod hensamu?
 
Wakati sisi tukiwa online muda wote wewe unakuaga wapi? Hayo uliyoyaandika yote uko sawa sawa kabisa kuhusu sisi, Una tatizo Na sisi kuwepo online muda wote?
Acha kufuatilia maisha ya watu wewe.
 
Hao bila shaka si wake za watu.....
 
Ila una kazi kuangalia nani na nani wapo online

Ebu mm nikuulize wewe inakuhusu nini kwa mfano simu zao mabundle yao

Jf pekee ndio kuna mambo ya kupangiana simu yako bundle lako na unapangiwa jinsi ya kuingia jf
 
mleta uzi nimekudharau sana, hawa watu huwa wanakukopa?
wanakula kwako?
unawajua?
kama walivyo walevi wengine na vilevi vyao na jf ina ka ulevi, waacha waendelee kuburudika.
Mzigua90
Demiss
Mi kazi sina nishinde wapi? Anataka tulingane maisha. Cha msingi hamana anaemtunza atulie tu. Hayo maswali hata akipata jibu hakuna litakaloongeza hela kwenye account zake
 
Ila una kazi kuangalia nani na nani wapo online

Ebu mm nikuulize wewe inakuhusu nini kwa mfano simu zao mabundle yao

Jf pekee ndio kuna mambo ya kupangiana simu yako bundle lako na unapangiwa jinsi ya kuingia jf
Ni kwamba muda tulio online Na yeye anakuaga online. Atuambie hapo yeye IPI sababu yake Kati ya hizo.
 
Mi kazi sina nishinde wapi? Anataka tulingane maisha. Cha msingi hamana anaemtunza atulie tu. Hayo maswali hata akipata jibu hakuna litakaloongeza hela kwenye account zake
mpuuzi tu, msamehe, ukimheshimu sana mjibu lakini nakushauri umpuuze kwa kutomjibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…