Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Inategemeana na kazi walizonazo. Kama hazina msongamano wa utoaji huduma wanapata muda mzuri.

Ngoja waje wajibu wenyewe.
 
Halafu kumbe lipo jina la demu ya mganga hapo, hakya Mungu we kesho asubuhi utajikuta umelala juu ya bati

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Inategemeana na kazi walizonazo. Kama hazina msongamano wa utoaji huduma wanapata muda mzuri.

Ngoja waje wajibu wenyewe.
uko sahihi, kuna aina ya kazi inahitaji uwepo wako na mikono haishiriki ni kitendo cha kupanga kazi nawe unabaki msimamizi kwa kutupia jicho na ushauri unalazimika, hii inakupa nafasi kufanya mambo mengine ni pamoja na kuperuzi jf
Mzigua90
 
Mimi peke yangu ndo mpaka sasa ndo naijua main id ya mleta mada ila hao wote uliowataja ni wapole, wastaarabu hawajui kuchamba hawana maneno hata ila ungewataja wakina fudenge na ninavyokujua mleta mada mngechambana balaa ingekuwa bonge moja la movie.
Ila hao hata ukiwatia kidole cha jicho wananyanyuka wanaendelea na yao.
 
Nilichoelewa ni kuwa mleta mada anataka kuwa maarufu kama hao aliowataja..ukisoma sentesi zake ni kama mtu anayetamani kupata attention inazopata hizo ID's ingawa hakutaka kuja direct...

Ila kumtaja sky imeniuma na sijui kwa nini
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Kishinda Online na kazi vinaingiliana vipi unaweza kushinda online masaa 24 na at the same time unafanya kazi masaa 24
1) muuza duka la nguo
2)mkulima
3)Tigo pesa
4)muuza juice bar

6)mwalimu
7)muuza duka rejareja
8)mlinzi
9)fundi nyumba hadi apate kibarua
10)muuza gazeti
11)forex trader
12)Online shopper
13)muuza genge mtaani
14)Investor
15)Youtuber
16)Musician

Izo zote mfano wa kazi ambazo mtu unaweza kuwa muda wote online nakazi zinaenda ifike kikomo cha fikra za kikoloni kwamba wote lazima watoke asubui warudi jioni, ukipigiwa simu nipo bize, anayefanya kazi bila kupata muda izo ni kunyonywa.
 
Safi sana, Wahenga Walisema Vita vya Kunguru Furaha ya Panzi.. Mapanzi tunafurahia!
hujawahi kusuluhisha ugomvi?
hadi mke wa mtu anakwambia "natamani ningeolewa na mwanaume anayejitambua kama wewe"
kauli hii usipojilinda utakula mke wa mtu haha
 
Back
Top Bottom