Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ungemjua mleta mada ni nani, ungecheka mpaka uzimie. Ni shosti yako sana tu, kaamua kutumia ID yake nyingine.Nimefurahi tu kujua ninae fan baasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungemjua mleta mada ni nani, ungecheka mpaka uzimie. Ni shosti yako sana tu, kaamua kutumia ID yake nyingine.Nimefurahi tu kujua ninae fan baasi
Yani mi nikiwa kazini ndo Niko free kuingia huku kuliko nikiwa homeuko sahihi, kuna aina ya kazi inahitaji uwepo wako na mikono haishiriki ni kitendo cha kupanga kazi nawe unabaki msimamizi kwa kutupia jicho na ushauri unalazimika, hii inakupa nafasi kufanya mambo mengine ni pamoja na kuperuzi jf
Mzigua90
Hahahahahaaakabisa mkuu fursa hizi
bora umekujaHahahahahaaa
Fita ni fita muraMimi peke yangu ndo mpaka sasa ndo naijua main id ya mleta mada ila hao wote uliowataja ni wapole, wastaarabu hawajui kuchamba hawana maneno hata ila ungewataja wakina fudenge na ninavyokujua mleta mada mngechambana balaa ingekuwa bonge moja la movie.
Ila hao hata ukiwatia kidole cha jicho wananyanyuka wanaendelea na yao.
Hahahahahaahujawahi kusuluhisha ugomvi?
hadi mke wa mtu anakwambia "natamani ningeolewa na mwanaume anayejitambua kama wewe"
kauli hii usipojilinda utakula mke wa mtu haha
Hahahahaaa. Nipe ubuyu babu pm ni nani.. Basi Kama ni shosti yangu kanimiss tu atakuaUngemjua mleta mada ni nani, ungecheka mpaka uzimie. Ni shosti yako sana tu, kaamua kutumia ID yake nyingine.
Ana wivu wa kijinga huyo kwanini wakikesha yeye anakosa oksijenihuyo ni ke
umegonga mule mule mkuu, nami hizo hisia zilinijia, wanawake wana shida sanaUngemjua mleta mada ni nani, ungecheka mpaka uzimie. Ni shosti yako sana tu, kaamua kutumia ID yake nyingine.
Mbn mnajidharau sana wadada!? Uzi ukitoka kwa ke unashida gani!?mada imetoka kwa mwanamke..not surprised!
Nilienda nunua kinywaji nijipongeze kuwa na celebubora umekuja
wanawake mnajijua wenyewe mlivyoAna wivu wa kijinga huyo kwanini wakikesha yeye anakosa oksijeni
Haki tuna tabu Sana sisi nazidi kuamini. Sasa MTU si aje tu na ID yake lakini.umegonga mule mule mkuu, nami hizo hisia zilinijia, wanawake wana shida sana
Daah una kazi nzuri sana .....Yani mi nikiwa kazini ndo Niko free kuingia huku kuliko nikiwa home
Haki tuna tabu Sana sisi nazidi kuamini. Sasa MTU si aje tu na ID yake lakini.
Nzuri Kwa kuwa nalipwa mshahara ila inaboa acha tuDaah una kazi nzuri sana .....
Sasa ndo unafki nisiopenda Mimi. Kwani anatuogopa nini wakati kumpiga hatuwezi hatahana ujasiri coz mnafahamiana
Huo ndio uzuri wenyewe......mtaani kugumu sana wewe kula maisha.Nzuri Kwa kuwa nalipwa mshahara ila inaboa acha tu
Hapo kuna wivu gani? Why insecurity?Ana wivu wa kijinga huyo kwanini wakikesha yeye anakosa oksijeni