Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Itika sasaMmmh...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itika sasaMmmh...!
Hapa pia poa.. Ajione na yeye maana I'm sure atakua na Id yake nyingine SAA hizi anafuatilia comment kwa karibu
Namuita trans..[emoji39]Itika sasa
Namuita trans..[emoji39]
Hustahili kufanya hivyo mtu chake achia wale wanaume wenye mipashoNi kweli kabisa, akitajwa huyu nami kuna mdada na mlipua live kaleta shobo sehemu halafu kajisahau
Hahahahaa. Kama nilijua utasema hivi. Nakupa hiyo rushwa babuMi labda mpaka nipewe rushwa. Na rushwa yangu inahusisha uvuaji wa nguo LOL
Nisamehe Rafiki, sitofika huko nafuta kauliHustahili kufanya hivyo mtu chake achia wale wanaume wenye mipasho
Ujana wake aliutumia vibaya. Hana sifa nzuri hata moja.
We Genius ujue.Hawa wanawake unaweza kukuta mmoja wao ndio ameleta hii mada wanatuzingua tu.
Hustahili kufanya hivyo mtu chake achia wale wanaume wenye mipasho
Tusimtaje. Tumuache tu. Ahangaike na roho yake.Sijui nimtaje ? Ila huyo madame sijui kawaza nini. Au acha tusimtaje tuu.
Sawa mtu chake nakuaminiaa ukikereka zaidi muandikie pm tu inatoshaNisamehe Rafiki, sitofika huko nafuta kauli
Babu nae anaweza akataka anikague kwanza
Hahahaha, kazi kwako,...mtaka cha uvunguni...Hahahahaa. Kama nilijua utasema hivi. Nakupa hiyo rushwa babu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpe heraWe Genius ujue.
Leo umenichekesha sanaaYou never know
Mi na mzigua hatuendani ujuwe...we ushanifahamu na kunijua eti..Mie ama Mzigua?!