Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu niache kwanza. Mchepuko unauma kuliko mke...Tutajie acha ubabaishaji wako.
Au ushapigwa mkwara Pm?
Au ni demu wako?
Mzee mwenzangu hivi ni kwann inakuaga hivi?Hebu niache kwanza. Mchepuko unauma kuliko mke...
Sijapata badoHebu nitumie jina lake
Jana nilikeshea huu uzi
Simjui ndioAfu unajifanya humjui eti...
Toka lini mi nimekua mkali lakini?Tusamehe jamani
Anasema we mkali sana jamani
We bwana usitafute sababu. Kama hunitaki useme tuWe bwana waonekana wa juu sana, sifiki huko, silawezi jamani...[emoji23][emoji23][emoji23]
Si unajua michepuko inajua kubebisha wakati mke anajua kulea?Mzee mwenzangu hivi ni kwann inakuaga hivi?
Hahaha hahaha hahaha....Hebu niache kwanza. Mchepuko unauma kuliko mke...
EeeehHahahaha, babu kayataka mwenyewe sasa muinamie
Kwahiyo mikwara au?Hebu niache kwanza. Mchepuko unauma kuliko mke...
Nawe umeaminiMzee mwenzangu hivi ni kwann inakuaga hivi?
Nimekubali babuUnaulizia vumbi stoo?
...[emoji23][emoji23]na boksa keshavua huyo anakufaaje my sakayo.Hebu niambie ananifaa kweli huyoo
HahahahahhaaaUnainama saa ngapi sasa? Au nivae boxer nisepe zangu?
Toka lini mi nimekua mkali lakini?
Ndo kisingizio chako toleo jipya?Hahaha hahaha hahaha hahaha
Una jeshi kubwaaa watanitoa macho mie