King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,002
- 675
Haya sister wangu asante,
Hiyo pua na rangi mdogo wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo pua na rangi mdogo wangu.
I hope hujachukiaHaya sister wangu asante,
Wala hata mbona kwaida tu, hakuna hata shida usiwaze mdada wanguI hope hujachukia
Poa siku njemaWala hata mbona kwaida tu, hakuna hata shida usiwaze mdada wangu
Poa siku njema
Kimeo changu kinachonisave nikiwa sina simu ya kueleweka... HahahaaHiyo simu yako mpyaa[emoji23] [emoji23]
Mi birthday yangu sio leo
Sakayo ,sakayo unataka nizirudie sababu alizotoa babu?
Ndo ujifunze kutowadharau usiowajua!
SPAM Same Picture katika nyuzi tofauti kwahiyo wakaona kama Multiple SMS.How? SPAM
Oh hapo sawa....lazima uzinguliweeSPAM Same Picture katika nyuzi tofauti kwahiyo wakaona kama Multiple SMS.
Kihere cha nini mrembo?Ningeweza kutanga tanga nisingekua single abadani. Tatjzo moyo wangu Una kiherehere sana
Kuna hawa wadada Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat yaani kila nikitupa jicho humu Jf nawakuta wako Online.
Maswali yangu:
1. Hamna waume?
2. Mna stress?
3. Single mothers?
4. Widowers?
5. Mnaishi pamoja?
6. Mna bando za kuchezea?
7. Mnawekwa tu mjini (hamna majukumu)?
8. Mnataka kiki?
9. Jobless?
10. Mna share Jf?
11. Ni multiples I'D?
12. Mnajishaua tu tuwaone kuwa mko juu?
Yaani sijawahi ingia humu Jf nikakuta hakuna mada yoyote ambayo Demiss, Mzigua90 au Sky Eclat hawajatia maguu.
Nipeni nami mbinu mwanamke mwenzenu niweze damshi majukwaa yote.
Khaaa!!!!
WHATEVER IS EXCELLENT...... LISEMWALO LIPO
DadekiLet the Rumble begin!
Popcorn time.
[emoji41][emoji41][emoji41]