Na kifua chote changu si unajua vilee napenda kulala kifuani huku umenikumbatiaaaaMabusu yoote yako kuanzia kwenye kope mpaka kwenye nyayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]mwaaaaaah my heart beatHahahaaa
Mdogo mdogo wataelewa somo mme wanguuuBado hawaamini tuu!?
Mwenye upendo na anayejua thaman ya kupendwa na mwanamke mpishe tu apate kinachostahiliMwenye nguvu mpishe!!
Majukumu ya kujenga viwanda mme oooh mambo yote jioni hunNatamani turudi home maramoja......
hahaa ni kama umaga VS ray mysteriousMwenye nguvu mpishe!!
Sawa usije kunigeunza Mangi Kimambi Bure hapa hahahahahah we hatari sanaSoma tena nilichoandika mstari wa kwanza na wa pili...
Oya niunganishe huko jukwaa la wakubwa masta. Ulijiungaje?Humu jf kuna demu mmoja nilikuwa nafukuzia, mtoto nilisha mweka kwenye himaya ya mikono yangu, Kumbe yule demu alikuwa alisha jiunga na jukwaa la wakubwa ila alikuwa anapita kimya kimya, siku moja akaja akanidaka na post kule JLW ndiyo alipo gundua mim ni mtu wa namna gani na id akaja kubadilisha, hakuwa anataka kabisa kuniona sijui alikuja kufia wapi yule mbuzi
Ila mshana naomba na mm hako ka mziziAm so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua π³ π³ π³
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]hahaa ni kama umaga VS ray mysterious
[emoji23][emoji23][emoji23]ndeleMkuu tugawane ndele tafadhali.
kaka jambaziHumu jf kuna demu mmoja nilikuwa nafukuzia, mtoto nilisha mweka kwenye himaya ya mikono yangu, Kumbe yule demu alikuwa alisha jiunga na jukwaa la wakubwa ila alikuwa anapita kimya kimya, siku moja akaja akanidaka na post kule JLW ndiyo alipo gundua mim ni mtu wa namna gani na id akaja kubadilisha, hakuwa anataka kabisa kuniona sijui alikuja kufia wapi yule mbuzi