Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
unatumia nguvu nyingi kwa huyo dem mbovu wa dom.
 
Nimefunikwa na mbawa za mume alafu sasa kasema ananipenda hasikilizi maneno ya wapita njia
.
love1.jpg
 
Wamependwa wa uwanja wa fisi na Kimboka bila kusahau kona bar itakuwa yeye? NAMPENDA sasa... PASUKENI....
Mme wangu achana nayeee huyoo mm na wewe mpaka kifo nakupenda alafu nakupenda sanaaaa wanaotaman kuwa na mm inawauma sanaa ndo maana wanahangaika sana na watahangaika mwaka huu
 
Mme wangu achana nayeee huyoo mm na wewe mpaka kifo nakupenda alafu nakupenda sanaaaa wanaotaman kuwa na mm inawauma sanaa ndo maana wanahangaika sana na watahangaika mwaka huu
na watahangaika sana na mm nakupenda sana tena sana wewe ndo mme wanguuu wenye wivu wajinyongeeeeeeee
Kichwa cha habari na maudhui viko wazi kabisa hivyo usijali kabisa
 
Back
Top Bottom