Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Namtafuta anaekufungia hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namtafuta anaekufungia hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SiniweweNamtafuta anaekufungia hivyo
unatumia nguvu nyingi kwa huyo dem mbovu wa dom.Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
Ngoja aingie mazima ntamtangaza tu.Mchukue kabisa na utangaze kama wa kwako utaenjoy tu mazimaaaa
Mme wangu achana nayeee huyoo mm na wewe mpaka kifo nakupenda alafu nakupenda sanaaaa wanaotaman kuwa na mm inawauma sanaa ndo maana wanahangaika sana na watahangaika mwaka huuWamependwa wa uwanja wa fisi na Kimboka bila kusahau kona bar itakuwa yeye? NAMPENDA sasa... PASUKENI....
na watahangaika sana na mm nakupenda sana tena sana wewe ndo mme wanguuu wenye wivu wajinyongeeeeeeeeThe war is on
Mme wangu achana nayeee huyoo mm na wewe mpaka kifo nakupenda alafu nakupenda sanaaaa wanaotaman kuwa na mm inawauma sanaa ndo maana wanahangaika sana na watahangaika mwaka huu
Kichwa cha habari na maudhui viko wazi kabisa hivyo usijali kabisana watahangaika sana na mm nakupenda sana tena sana wewe ndo mme wanguuu wenye wivu wajinyongeeeeeeee
Nitakufa kwa kupigania penzi lakooooKichwa cha habari na maudhui viko wazi kabisa hivyo usijali kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyambafuuuNitakufa kwa kupigania penzi lakoooo