Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Aaah wapi.nikutafutie mchumba?Nitakuoa.
Mbona nasikia hamnaga ushemeji tunakulaga?Nimekubali, ntakwita shemeji...."shemeji eee, shwmwji shemejiii eee???"
Duh hii ni mbaya zaidi ya kibuti, mimi nakufukuzia wewe unasema unitafutie mwingine...I aint good enough for u?Aaah wapi.nikutafutie mchumba?
Hutaki nikutafutie?Duh hii ni mbaya zaidi ya kibuti, mimi nakufukuzia wewe unasema unitafutie mwingine...I aint good enough for u?
Mimi nakupenda weweHutaki nikutafutie?
Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
[emoji23][emoji23]hivi kumbe na wewe hujaoa badoooHebu nendeni JLW humu tunatafuta wanawake wa kuoa!
Naona nimekuwa mlenda siku hizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pekecha pekecha
Wè baba wewe nina kesi na ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una maana WACHAWI?!!🙁🙁
Na sisi tumeolewaje kama humu hamna wanaume ndo hamnaNajua unashindwa kusema hamna wakuolewa humu....unaogopa kusutwa!
FactNisutwe na nani? Wa kuolewa wapo na wanaolewa sana tu.kwanini wasiwepo wa kuolewa?
Mchukue kabisa na utangaze kama wa kwako utaenjoy tu mazimaaaaHata mimi kuna mmoja humu karibu aingie line kwa 100% bado namvuta mdogomdogo nimuoe mazima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana nini shida kwani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli utani nan anapenda kuzibiwa ridhiki kama hivi weeeeeHivi ni kweli jamani au? Mie najua mnatania?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale juju ninaporudi kwa alielituma
Nimefunikwa na mbawa za mume alafu sasa kasema ananipenda hasikilizi maneno ya wapita njiaMtoto yuko chini ya himaya yako.
Toka lini?Mimi nakupenda wewe
LeoToka lini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee Wa manyanga subiri nguvu ya manyanga iishe mtoto asepe.