Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo tikkmill ina minimum ya ngapi??Uhalisia wako hapo ni hiyo pair ya EURUSD ambapo umetumia lot size ya 0.01. Kimsingi unashauriwa kufanya demo kwa kutumia lot isze ya uhalisia yaani unataraji kuanza na mtaji kiasi gani mfano unapofungua account na Tickmill Client Area - Login ambaye ni amabaye unaweza kuweka/kutoa kwa mpesa, tigopesa, au airtel money unapaswa kufungua demo kwanza na kuweka mtaji kidogo angalau hata $500 kwa ajili ya mazoezi.
Kwa wale ambao wanataka kufungua account na TICKMILL World Class broker unaweza kuingia kwenye website yao Client Area - Login na wale ambao watapata shida yoyote karibu pm au utauliza kwa kufanya quote ya hii comment nami nitakusaidia hasa verification ukiwa sehemu yoyote Tanzania!!
Minimum deposit kwa tickmill ni kiasi gani aiseee??Uhalisia wako hapo ni hiyo pair ya EURUSD ambapo umetumia lot size ya 0.01. Kimsingi unashauriwa kufanya demo kwa kutumia lot isze ya uhalisia yaani unataraji kuanza na mtaji kiasi gani mfano unapofungua account na Tickmill Client Area - Login ambaye ni amabaye unaweza kuweka/kutoa kwa mpesa, tigopesa, au airtel money unapaswa kufungua demo kwanza na kuweka mtaji kidogo angalau hata $500 kwa ajili ya mazoezi.
Kwa wale ambao wanataka kufungua account na TICKMILL World Class broker unaweza kuingia kwenye website yao Client Area - Login na wale ambao watapata shida yoyote karibu pm au utauliza kwa kufanya quote ya hii comment nami nitakusaidia hasa verification ukiwa sehemu yoyote Tanzania!!
Matumizi mabaya ya lot haya[emoji28] [emoji28].Habari!
Napenda kuuliza Hivi kwa mtu ambaye anaprofit consistently kwenye DEMO ACCOUNT na akaamua kuingia kwenye REAL ACCOUNT na kuanza kutradr atamake the same profit ? au kuna urahisi kwenye DEMO??View attachment 836747
Kikubwa nilichouliza ni consistency ya profit yaani kama nimezoea kupata blue kwenye DEMO nikiamia kwenye REAL itakua hivyohivyo.Matumizi mabaya ya lot haya[emoji28] [emoji28].
Huwa hamna tofauti kubwa Ila tatizo ni emotions tu hapo sio pesa zako ukiweka pesa yako ndo utajua Uhalisia wa demo na real.
Kama unapata blue means una skills so unaweza kupata blue kwenye real pia.Kikubwa nilichouliza ni consistency ya profit yaani kama nimezoea kupata blue kwenye DEMO nikiamia kwenye REAL itakua hivyohivyo.
Search 255millionaires na fx money industry zote utapata kwa kiswahili kabisa.Ok Asante bro.. Na kama una channel ya YouTube inayoweka seminars ya forex nisaidie mkuu
Sio hasara pip 0.3 zitakupeleka wapi kwa hio lot hahahahahKwahiyo hapo ni hasara??
Dola 25 kwa pro akaunti very easy and affordable but kwa kiasi hikj lazima uwe more skilled lasivyo soko likigeuka pip 50 tu huna chako .Minimum deposit kwa tickmill ni kiasi gani aiseee??
Hapo fx money industry tu hao wengine makanjana tuSearch 255millionaires na fx money industry zote utapata kwa kiswahili kabisa.
Minimum deposit ni $25Minimum deposit kwa tickmill ni kiasi gani aiseee??