DEMO ACCOUNT

DEMO ACCOUNT

Rashidi7

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
611
Reaction score
208
Habari!
Napenda kuuliza Hivi kwa mtu ambaye anaprofit consistently kwenye DEMO ACCOUNT na akaamua kuingia kwenye REAL ACCOUNT na kuanza kutradr atamake the same profit ? au kuna urahisi kwenye DEMO??
Screenshot_2018-08-15-14-28-59.jpg
 
Hakuna uhusiano... Lot ya 10 halafu profit ya 30$ hapo anamake profit gani...
 
Uhalisia wako hapo ni hiyo pair ya EURUSD ambapo umetumia lot size ya 0.01. Kimsingi unashauriwa kufanya demo kwa kutumia lot isze ya uhalisia yaani unataraji kuanza na mtaji kiasi gani mfano unapofungua account na Tickmill Client Area - Login ambaye ni amabaye unaweza kuweka/kutoa kwa mpesa, tigopesa, au airtel money unapaswa kufungua demo kwanza na kuweka mtaji kidogo angalau hata $500 kwa ajili ya mazoezi.

Kwa wale ambao wanataka kufungua account na TICKMILL World Class broker unaweza kuingia kwenye website yao Client Area - Login na wale ambao watapata shida yoyote karibu pm au utauliza kwa kufanya quote ya hii comment nami nitakusaidia hasa verification ukiwa sehemu yoyote Tanzania!!
 
Hiyo tikkmill ina minimum ya ngapi??
 
Minimum deposit kwa tickmill ni kiasi gani aiseee??
 
Habari!
Napenda kuuliza Hivi kwa mtu ambaye anaprofit consistently kwenye DEMO ACCOUNT na akaamua kuingia kwenye REAL ACCOUNT na kuanza kutradr atamake the same profit ? au kuna urahisi kwenye DEMO??View attachment 836747
Matumizi mabaya ya lot haya[emoji28] [emoji28].
Huwa hamna tofauti kubwa Ila tatizo ni emotions tu hapo sio pesa zako ukiweka pesa yako ndo utajua Uhalisia wa demo na real.
 
Kikubwa nilichouliza ni consistency ya profit yaani kama nimezoea kupata blue kwenye DEMO nikiamia kwenye REAL itakua hivyohivyo.
 
Kama unapata blue means una skills so unaweza kupata blue kwenye real pia.
 
Minimum deposit kwa tickmill ni kiasi gani aiseee??
Dola 25 kwa pro akaunti very easy and affordable but kwa kiasi hikj lazima uwe more skilled lasivyo soko likigeuka pip 50 tu huna chako .

Ndo maana wenye mitaji mikubwa ndio wanaopiga pesa katika forex consintently

So att least dola 200 kama we kapuku sana ila kama unazo dola 2000
 
Back
Top Bottom