Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasemaaaa🏃Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.
Hili neno mnalichezea sana siku hizi.Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.
Ndiyo kijijini kwenu walivyokuhadithia?Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.
Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.
Na anafanya makusudi.Mtu mwenye chuki na sonona hana tofauti na lichawi.Umeita Mboe kama Musiba
Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.
Pole upewe weye tena unagongwa makwenzi kwa kuukuvali uongo.Kinana aligombea na nani?Pole
hakujawahi kuwa na democrasia ccm hata siku moja..Nasema Demokrasia ipo CCM tofauti na vyama vingine
Umerukia ya Lipumba Umeacha ya CCM.Lipumba anachaguliwa na Nani?
KINANA ANASEMA KUWA RAIS SAMIA ALIMPIGIA SIMU AKIMTAKA AWE MAKAWU WAKE NAYE AKAJIBU MIMI NI NANI HATA NIMKATALIE RAIS WANGU , HIYO NDIYO DEMOKRASIA?Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Demokrasia ya KUOGOPA katiba mpya Demokrasia ya kufanya Mikutano pekee yakeChama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.
Ulishawahi kuona uchaguzi wa mwenyekiti taifa wa CCM? Kama kulikuwa na huo uchaguzi tuambie wagombea walikuwa nani na Nani? Labda Kama unafikiri kwa kutumia Makalio kuona hiyo demokrasia iliyopo CCM.Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.
Lipumba Ni Mwenyekit kwa muda gani Sasa?Ulishawahi kuona uchaguzi wa mwenyekiti taifa wa CCM? Kama kulikuwa na huo uchaguzi tuambie wagombea walikuwa nani na Nani? Labda Kama unafikiri kwa kutumia Makalio kuona hiyo demokrasia iliyopo CCM.
Safi sana Kiongoz.Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya upinzani inabaki kwenye makaratasi tu.