Demokrasia iliyokomaa nchini Marekani ni mfano wa kuigwa duniani kote.

Demokrasia iliyokomaa nchini Marekani ni mfano wa kuigwa duniani kote.

Wewe hata ufahamu unachotetea ufahamu chochote kuhusu Marekani aliambiwa na nani? wakati wanasheria wake walepeleka kesi mahakamani ya wizi wa kura Jaji akatupilia mbali hiyo kesi. Bado povu linakutoka kuwa Marekani kuna demokrasia.😀
Unajua ni kwa nini lilitupiliwa mbali. Kisheria kama madai hayana mashiko hutupiliwa mbali.
 
Unajua ni kwa nini lilitupiliwa mbali. Kisheria kama madai hayana mashiko hutupiliwa mbali.
Trump aliambiwa aende mahakamani akathibitishe namna ambavyo uchaguzi ulihujumiwa lakini alishindwa jambo linalo thibitisha kwamba madai yake hayakuwa ya kweli.
Hauana unachojua wewe zaidi ya ushabiki mandazi.
 
Back
Top Bottom