Wewe hata ufahamu unachotetea ufahamu chochote kuhusu Marekani aliambiwa na nani? wakati wanasheria wake walepeleka kesi mahakamani ya wizi wa kura Jaji akatupilia mbali hiyo kesi. Bado povu linakutoka kuwa Marekani kuna demokrasia.😀
Trump aliambiwa aende mahakamani akathibitishe namna ambavyo uchaguzi ulihujumiwa lakini alishindwa jambo linalo thibitisha kwamba madai yake hayakuwa ya kweli.