Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Kwanini mke wa Amsterdam hakuanzisha chama?? Tupo jino kwa jino hadi kieleweke…. Hakuna kuhama chama!!Jibu swali why wewe na mumeo msianzishe chama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mke wa Amsterdam hakuanzisha chama?? Tupo jino kwa jino hadi kieleweke…. Hakuna kuhama chama!!Jibu swali why wewe na mumeo msianzishe chama?
Muulize mumeo anajuaKwanini mke wa Amsterdam hakuanzisha chama?? Tupo jino kwa jino hadi kieleweke…. Hakuna kuhama chama!!
Ukiwa mjinga utasema Lissu hana kitu.Mtu Kama Lissu hana kitu zaidi ya lile tumbo unategemea atafanya nini zaidi ya kuchukia wenye nacho?
Akili sake zimemsaidia nini Kama kashindwa kujinunulia gari anaomba omba Kama matonya??Ukiwa mjinga utasema Lissu hana kitu.
Ukiwa na akili utasema Lissu ni tajiri mkubwa na utajiri wake upo Kwenye ubongo wake.
Hata akiacha siasa Leo Lissu atatengeneza mabilioni kwa kuandika vitabu na majalada mengine ya dunia.
Lissu atapewa kazi mara moja na vyombo vikuu vya dunia kwa Mfano wake wa mazingira ili awafanyie kazi.
Watanzania na ujinga wao wanafikiri utajiri ni kuhodhi mali nyingi za kuiba Kumbe utajiri sahihi ni elimu ya kweli iliyo kichwani inayohitajiwa na dunia.
Clinton alimaliza Urais akiwa na madeni sasa ni milionea. Obama na mkewe wamemaliza urais wakiwa hawana kitu, sasa ni mamilionea.
Unayesema Lissu ni maskini kweli wewe ni maskini wa akili😭😭😭
Sawa dada yetu.CDM inajifia taratibu kwa kuongozwa na mhuni na kapuku Kama Lissu
Ukweli.Demokrasia Marekani kubwa sababu wanasiasa wana shughuli za kuwaingizia vipato vya kutosha nje ya siasa tofauti na Tanzania
Kwa Tanzania ukianzia upinzani hadi Chama tawala wengi waganga njaa tu hawana shughuli za maana za kuwaingizia kipato cha kutosha zaidi ya kuwinda tu fursa za kisiasa wawe Chadema au CCM nk ndio maana hata chaguzi tu ndani ya vyama ni mshike mshike watu wasio na vipato vya kuelekwa nje ya siasa wakiwinda pesa kwenye siasa
Marekani wao huangalia kwanza mtu ana nini ? Ana mali au kipato gani cha kutosha nje ya siasa ndio humpa nafasi
Tanzania nadhani tunapenda wapiga mayowe tu ndio maana nchi haiendelei na vyama hasa vya upinzani havifanyi vizuri sana kwenye chaguzi ziwe za ndani au chaguzi za kitaifa .Wanajaza zaidi wapiga mayowe wasio na kipato cha kutosha hakikika nje ya siasa
Watu wa aina hiyo kuifikisha nchi au chama cha siasa mbali ni changamoto sio rahisi
Kwa ufupi,siasa za marekani, na nchi za ulaya, mwanasiasa ni mtumishi wa umma aliyeapa kutoa huduma na endapo atakosea,na akigundua, huwajibika. Siasa za kiafrika ni za kulindana, kiongozi akifanya kosa, au kuvunja katiba hawajibiki na akikosolewa, mkosoaji huonekane kama mhaini. Sasa tujikite kutafuta katiba mpya itakayowapiga Pini viongozi wetu ili watutumikie.Demokrasia Marekani kubwa sababu wanasiasa wana shughuli za kuwaingizia vipato vya kutosha nje ya siasa tofauti na Tanzania
Kwa Tanzania ukianzia upinzani hadi Chama tawala wengi waganga njaa tu hawana shughuli za maana za kuwaingizia kipato cha kutosha zaidi ya kuwinda tu fursa za kisiasa wawe Chadema au CCM nk ndio maana hata chaguzi tu ndani ya vyama ni mshike mshike watu wasio na vipato vya kuelekwa nje ya siasa wakiwinda pesa kwenye siasa
Marekani wao huangalia kwanza mtu ana nini ? Ana mali au kipato gani cha kutosha nje ya siasa ndio humpa nafasi
Tanzania nadhani tunapenda wapiga mayowe tu ndio maana nchi haiendelei na vyama hasa vya upinzani havifanyi vizuri sana kwenye chaguzi ziwe za ndani au chaguzi za kitaifa .Wanajaza zaidi wapiga mayowe wasio na kipato cha kutosha hakikika nje ya siasa
Watu wa aina hiyo kuifikisha nchi au chama cha siasa mbali ni changamoto sio rahisi
Demokrasia Marekani kubwa sababu wanasiasa wana shughuli za kuwaingizia vipato vya kutosha nje ya siasa tofauti na Tanzania
Kwa Tanzania ukianzia upinzani hadi Chama tawala wengi waganga njaa tu hawana shughuli za maana za kuwaingizia kipato cha kutosha zaidi ya kuwinda tu fursa za kisiasa wawe Chadema au CCM nk ndio maana hata chaguzi tu ndani ya vyama ni mshike mshike watu wasio na vipato vya kuelekwa nje ya siasa wakiwinda pesa kwenye siasa
Marekani wao huangalia kwanza mtu ana nini ? Ana mali au kipato gani cha kutosha nje ya siasa ndio humpa nafasi
Tanzania nadhani tunapenda wapiga mayowe tu ndio maana nchi haiendelei na vyama hasa vya upinzani havifanyi vizuri sana kwenye chaguzi ziwe za ndani au chaguzi za kitaifa .Wanajaza zaidi wapiga mayowe wasio na kipato cha kutosha hakikika nje ya siasa
Watu wa aina hiyo kuifikisha nchi au chama cha siasa mbali ni changamoto sio rahisi
Tajiri Anayeta ajira ndie apewe uongoziNi sisi wenyewe hapa hapa JF huwa tunalalamika kuwaweka wafanya biashara kuwa kwenye nafasi za uongozi, tukisema wanatunga sera na sheria kwa manufaa ya biashara zao.
Wewe tena unalalamika wasio na kipato kuwa viongozi.
Hatueleweki..!!!!
Chadema kuendeshwa kinahitaji pesa kujiendesha sio ubongo wake unaozalisha maneno matupu hewa yasiyo na pesaUkiwa mjinga utasema Lissu hana kitu.
Ukiwa na akili utasema Lissu ni tajiri mkubwa na utajiri wake upo Kwenye ubongo wake.
Akili yake ndio imemfanya awe Mwenyekiti wa Chadema. Hana muda wa kutafuta pesa Kwasasa ana muda wa kuwatumikia Watanzania.Akili sake zimemsaidia nini Kama kashindwa kujinunulia gari anaomba omba Kama matonya??
Hii ni pointiDemokrasia Marekani kubwa sababu wanasiasa wana shughuli za kuwaingizia vipato vya kutosha nje ya siasa tofauti na Tanzania
Kwa Tanzania ukianzia upinzani hadi Chama tawala wengi waganga njaa tu hawana shughuli za maana za kuwaingizia kipato cha kutosha zaidi ya kuwinda tu fursa za kisiasa wawe Chadema au CCM nk ndio maana hata chaguzi tu ndani ya vyama ni mshike mshike watu wasio na vipato vya kuelekwa nje ya siasa wakiwinda pesa kwenye siasa
Marekani wao huangalia kwanza mtu ana nini ? Ana mali au kipato gani cha kutosha nje ya siasa ndio humpa nafasi
Tanzania nadhani tunapenda wapiga mayowe tu ndio maana nchi haiendelei na vyama hasa vya upinzani havifanyi vizuri sana kwenye chaguzi ziwe za ndani au chaguzi za kitaifa .Wanajaza zaidi wapiga mayowe wasio na kipato cha kutosha hakikika nje ya siasa
Watu wa aina hiyo kuifikisha nchi au chama cha siasa mbali ni changamoto sio rahisi
Sio akili ni ulaghai na siasa chafu za kudhalilisha wengine bila ushahidiAkili yake ndio imemfanya awe Mwenyekiti wa Chadema. Hana muda wa kutafuta pesa Kwasasa ana muda wa kuwatumikia Watanzania.
Kibaya zaidi hata gari lake wajinga wamelipiga risasi.
Huyo Lissu hats akitaka kuondoka leo na kutafuta kazi za juu za dunia anapata. Kazi za kulipwa dola zaidi ya laki mbili kwa mwaka.Sio akili ni ulaghai na siasa chafu za kudhalilisha wengine bila ushahidi
Siasa kama hizo huwa hazina future
Uchaguzi hata uitishwe leo ile karibu asilimia 49 waliomkataa Lisu hawatampa kura akigombea .Na hao asilimia 49 walichaguliwa hivyo wao na waliowachagua hawatampa kura Lisu wa ndani ya Chadema
Hivyo uchaguzi mkuu hata uitwe leo Lisu awe na uhakika asilimia 49 ya wanachama wote wa Chadema hawatampa kura sababu kaingia kihuni kwenye uenyekiti na hadhi ya Mbowe hata akipita mtaani
Mbowe alikuwa akipita popote mtaani lazima palipuke shangwe