kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Hii ndio level na mila yetu. Mila na desturi za jamii zetu huwa ni kupora kupota chako au kisichochako. Kuna watu wanapora ardhi za wazi, mifugo, milathi, viwanja, roba za mbao, nk. Kupora Huku kwenye chaguzi ni mwendelezo TU ya kile kinachotokea kwenye jamii ya mgombea. Mtu haoni haya kupora kura kwakuwa huwa wanapora na vitu vingine kwenye jamii yao. Demokrasia inafuata watu na sio watu wanafuata demokrasia.Unazungumziaje huu utaratibu wa kupata viongozi kwa kupora chaguzi. Huu ndio utamaduni wetu?