Demokrasia ni uhuru wa watu ambao haupo duniani kote

Demokrasia ni uhuru wa watu ambao haupo duniani kote

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Huwezi kuwa na mfumo wa demokrasia kwenye mfumo wa ubebali au ubeberu,ni nchi gani hiyo uingereza,urusi,marekani,ujeruman,nk?

Kiuhalisia nchi zote duniani zinafuata mifumo ya kidini ambayo huitaji pesa tu na si vinginevyo

Ukiondoa mifumo ya ubebari,ubeberu na dini utabakiwa na mfumo wa UJAMAA ambao hauhitaji PESA hivyo utakuwa huna SERIKALI duniani.
 
Back
Top Bottom