Pre GE2025 Demokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Pre GE2025 Demokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
DEMOKRASIA NYAKATI ZA UCHAGUZI INAVYOKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI

Safari ya CCM 🚍

Simulizi hii ya 'Safari ya CCM' inatueleza namna michakato ya kidemokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM), kwanzia zama za siasa za chama kimoja hadi ulipokuja mfumo wa vyama vingi.

'Safari ya CCM' inaenda mbali kwa kutueleza kuwa, toka enzi za uenyekiti wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hadi kumpata Mwenyekiti wa sasa, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan, CCM imepita katika nyakati ngumu na nyepesi, na nyakati hizi ndizo zinazokiimarisha Chama cha Mapinduzi na kukifanya kizidi kushinda chaguzi mbalimali na kupendwa na wananchi walio wengi kila siku iitwayo leo.

Soma Pia:

Tufuatilie zaidi kupitia @safariya_ccm

#SafariYaUshindiNaMaendeleo
 

Attachments

  • VID-20241024-WA2200.mp4
    46.7 MB
20241025_032350.jpg
 
Demokrasia ya uongo.
Kama CCM kunai demokrasia, ya ukweli, waruhusu watu wengine kuchukua fomu ya urais kupitia chama hicho.
 
Back
Top Bottom