Demokrasia ya Kenya si demokrasia tena bali chombo cha kuwa pumbaza.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!...
Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa umewafanya wawe busy for nothing, the way wachache wanavyotaka tanzania yetu iwe hivyo!
Wenzetu kila uchwao ni Ruto, Gachagua, raila, nimpe pole sana Rais Ruto kwa kweli kwa Siasa za hapo Kenya sijui Rais anapata wapi muda wa kutafakari juu ya kipi kifanyike kwa ustawi wa Wana Kenya ndugu zetu,
Kwa Tanzania let play partly, tusijiingize mno kwenye misingi hiyo kwani, utakapojumlisha na uvivu wa watanzania basi tutaangamiza taifa letu mazima, twendeni mwendo huu tulionao, tuipende CCM, kwani tukumbuke hatuwezi wote tukanufaika na maslahi wapatayo wachache, maana kwa hapa kwetu tatizo kubwa lipo kwenye wivu na vijicho, fortunate are fortunate, pigania nawe upate kwa kiasi, na si lazima ulingane na wengine, we are transpasser, tunapita very fast, maandiko yetu yanatuambia "" kuna wakati utafika, nyumba yako wala kaburi lako havitaonekana juu ya uso wa nchi kamwe vitapotea ""
 
kumbe na wewe umeliona hilo !! Mimi Kila siku nashangaa walivyo moto na kutoleana maneno wakati uchaguzi ni 2027.

Kenya wako moto mnoo kuliko hata Tanzania ambako uchaguzi ni October 2025.
 
lkn pmj na mapungufu yao wametuzidi kiuchumi kwa mbali sana, sisi tuna utulivu, chama kimoja raisi ana absloute power kwa maana ya kwamba bunge lote ni lake waabunge karibia wote ni wa chama chake anaweza kupitisha sheria yoyote bila kupingwa privillege ambayo vyama vya nchi zilizoendelea zinaipigania kuipata lkn wanaishi kujenga coalition na vyama tofauti kwa kuwa kura hazitoshi kwa chama kimoja kuongoza peke yake lkn bado tunashindwa kuitumia hiyo power for good, wizi tu na mipasho …
 
Alisikika Kingwendu mmoja akichagiza toka maeno ya Mlamleni
 
lkn pmj na mapungufu yao wametuzidi kiuchumi kwa mbali sana, sisi tuna utulivu, chama kimoja raisi ana absloute power kwa maana ya kwamba bunge lote ni lake waabunge karibia wote ni wa chama chake anaweza kupitisha sheria yoyote bila kupingwa privillege ambayo vyama vya nchi zilizoendelea zinaipigania kuipata lkn wanaishi kujenga coalition na vyama tofauti kwa kura hazitoshi kwa chama kimoja kuongoza peke yake lkn bado tunashindwa kuitumia hiyo power for good, wizi tu na mipasho …
Lazima watuzidi sababu area of concentration yakenya NI ndogo kulinganisha na Tanzania,Onganisha kwapamoja Kenya,Uganda,Malawi na Rwanda bado hawaifikii Tanzania kwa ukubwa,idadi Yawatu watanzania na ardhi iliyopo haina ufanano ukijumlosha na uvivy wetu ndo kabisaa
 
Tanzania ina rasilimali nyingi sana ila imezidiwa na kenya we unaona ni sawa
 
Kwani zimeshaisha kuzitumia?na uvivu umeuacha wapi?uchumi wanchi unaboreka mainly kuanzia kwamtu mmoja mmoja,kufanya Kazi kwa bidii,watanzania Sisi Kazi kubeti,umbea na kukaa vijiweni,huo uchumi utakuwa saa ngapi?
 
lkn pmj na mapungufu yao wametuzidi kiuchumi kwa mbali sana, sisi tuna utulivu, chama kimoja raisi ana absloute power kwa maana ya kwamba bunge lote ni lake waabunge karibia wote ni wa chama chake anaweza kupitisha sheria yoyote bila kupingwa privillege ambayo vyama vya nchi zilizoendelea zinaipigania kuipata lkn wanaishi kujenga coalition na vyama tofauti kwa kuwa kura hazitoshi kwa chama kimoja kuongoza peke yake lkn bado tunashindwa kuitumia hiyo power for good, wizi tu na mipasho …
Kenya ndiyo kuna ufisadi wa kutisha kuliko Tanzania!, mfano, sgr yao katika mpango kazi haikuwa hiyo ya kizamani ya diesel, wanaume wamepindisha wakalamba pesa yote na kuweka mradi kenge! 😁, sera zetu za ujamaa ndizo zilizotuchelewesha hata hivyo tunakwenda kasi nzuri sana.
 
Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!...
Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa umewafanya wawe busy for nothing, the way wachache wanavyotaka tanzania yetu iwe hivyo!
Wenzetu kila uchwao ni Ruto, Gachagua, raila, nimpe pole sana Rais Ruto kwa kweli kwa Siasa za hapo Kenya sijui Rais anapata wapi muda wa kutafakari juu ya kipi kifanyike kwa ustawi wa Wana Kenya ndugu zetu,
Kwa Tanzania let play partly, tusijiingize mno kwenye misingi hiyo kwani, utakapojumlisha na uvivu wa watanzania basi tutaangamiza taifa letu mazima, twendeni mwendo huu tulionao, tuipende CCM, kwani tukumbuke hatuwezi wote tukanufaika na maslahi wapatayo wachache, maana kwa hapa kwetu tatizo kubwa lipo kwenye wivu na vijicho, fortunate are fortunate, pigania nawe upate kwa kiasi, na si lazima ulingane na wengine, we are transpasser, tunapita very fast, maandiko yetu yanatuambia "" kuna wakati utafika, nyumba yako wala kaburi lako havitaonekana juu ya uso wa nchi kamwe vitapotea ""
Bata TZ, iko.hivyo hivyo.

Sema kwa TZ, Mgombea mmoja wa CCM ndo anafanya kampeni muda wote.

Matamasha yote ya nchi, ikiwemo ya mwenge ni kampeni za mgombea za mgombea wa CCM.

Na bado akimaliza anaiba uchaguzi mpaka wa kitongoji.
 
Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!...
Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa umewafanya wawe busy for nothing, the way wachache wanavyotaka tanzania yetu iwe hivyo!
Wenzetu kila uchwao ni Ruto, Gachagua, raila, nimpe pole sana Rais Ruto kwa kweli kwa Siasa za hapo Kenya sijui Rais anapata wapi muda wa kutafakari juu ya kipi kifanyike kwa ustawi wa Wana Kenya ndugu zetu,
Kwa Tanzania let play partly, tusijiingize mno kwenye misingi hiyo kwani, utakapojumlisha na uvivu wa watanzania basi tutaangamiza taifa letu mazima, twendeni mwendo huu tulionao, tuipende CCM, kwani tukumbuke hatuwezi wote tukanufaika na maslahi wapatayo wachache, maana kwa hapa kwetu tatizo kubwa lipo kwenye wivu na vijicho, fortunate are fortunate, pigania nawe upate kwa kiasi, na si lazima ulingane na wengine, we are transpasser, tunapita very fast, maandiko yetu yanatuambia "" kuna wakati utafika, nyumba yako wala kaburi lako havitaonekana juu ya uso wa nchi kamwe vitapotea ""
CCM imewafanya kuwa mazezeta hamuwezi kuwaza lolote la maana
 
Kenya ndiyo kuna ufisadi wa kutisha kuliko Tanzania!, mfano, sgr yao katika mpango kazi haikuwa hiyo ya kizamani ya diesel, wanaume wamepindisha wakalamba pesa yote na kuweka mradi kenge! 😁, sera zetu za ujamaa ndizo zilizotuchelewesha hata hivyo tunakwenda kasi nzuri sana.

labda tofauti ni kwamba ufisadi wa kenya unawekwa wazi, hiyo sgr ya tazangiza unayoiongelea ni sababu tu ya Magufuli na usimamizi wake ndiyo hata leo hii treni (ya umeme) pmj na bwawa la umeme ambalo lilijengwa kimkakati kwa lengo la kupower sgr ( brilliant idea) imeshaanza huduma kati ya dar-moro-dom lkn tunaweza kuweka dau hapa kama raisi samia atajenga hata tu km 5 ktk dom kuelekea manyoni na treni kupita kama vile ya dar-moro-dom au unafikiri raisi samia angeweza kujenga bwawa la nyerere na vipingamizi vyote vile tena watu wake ndiyo wapingaji wakubwa kama nape, makamba &co? …
 
AJITOKEZE MMOJA ANIAMBIE KUWA KUNA NCHI ZILIPATA MAENDELEO KUPITIA DEMOCRACY.
Hakuna mkuu, hili dude demokrasia tumewekewa ili lituzubaishe, Tena tukalazimishiwa tulikubali kwa lazima, hiki ni sawa na kikombe cha sumu, tuende nalo huku tukiongeza na akili zetu, ni njia ya kufujia pesa za maendeleo, endapo kama kiongozi atakuwa makini juu ya maendeleo ya taifa lake!
 
Back
Top Bottom