Mama Obama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 1,621
- 1,087
Nchi za kiafrika zinatakiwa kutafuta njia nyingine ya kisiasa. Demokrasia ya nchi za magharibi haifanyi kazi Africa nzima. Ni vurugu tupu. Africa inahitaji viongozi bora, kama Kagame ama Hayati Magufuli kuipeleka Tanzania mbele. Wao wenyewe hawakuweza kujenga uchumi wawo. Wabeligiji waliwafanyisha kazi wakongo kazi kwa nguvu ya raba na kuwakata mikono.
Waingereza waliitawala karibu dunia nzima na kuiba mali za nchi hizo. Waliwafanyisha kazi makoloni yao bila kuzungumuzia demokrasia. Waliacha sheria mbali mbali walizotuwala nazo ambazo ni za uonevu mkubwa. Hiyo demokrasia wameianzisha haswa kuzifanya nchi walizokuwa wakizitegemea waendelee kuzitegemea kwa kuziaminisha kuwa haziwezi kujitegemea bila ya misaada yao, na kutafuta njia ya kuweka puppets kupitia demokrasia.
Nchi zote zilizokubali ujinga huu zote ziko kwenye shida kubwa. Wananchi wao wamekufa kwa mamilioni.
IRAQ: Nchi iliyokuwa na amani na haki kushinda Nchi zote za kiarabu. Waislaamu na wakristo wakishirikiana pamoja. Makanisa na misitiki ilijengwa, kulikuwa hakuna udini ama ukabila. Walioowana na kuishi pamoja suni na Shiiite. Elimu ilikuwa kwa wote, Wanawake na wanaume bila ya ubaguzi. Iraq kulikuwa na madakitari na mainginia wa kike kushinda Nchi za Ulaya. Kulikuwa hakuna nchi iliyokuwa na Wanawake wenye uhuru katika nchi za kiarabu kushinda Iraq.
Nchi za Ulaya zikaanzisha choko choko kwasababu ya Sadam kupinga bei ya mafuta kuwa ndogo sana ukiringanisha na bei kubwa za kemikalimwalizokuwa wakiwauzia zinazotumika kwenye mafuta hayo. Walivyomuona Sadam Hussein amekazania bei ya mafuta lazimami ipande njia ikatafutwa ya kumuondowa Sadam Hussein, demokrasia Ikaingia kumutowa mutetezi wa mali za wairaq madarakani. Ndani ya Iraq wakatafuta puppets, kama group la Tundu Lissu. Kufupisha historia, leo Iraq nchi iliyokuwa na hali nzuri ya kimaisha ya wananchi wao, imevurugika na vifo vya mamilioni ya watu wasiokuwa na hatia. Kama vipofu bado tunaimba demokrasia.
LIBYA: Ilikuwa nchi yenye amani. Gaddafi kwa kuipigania Afrika, mala demokrasia ikatumika na uwongo mwingi kumuondowa Gaddafi. Libya sasa iko hoi, na puppets kama group la Tundu Lissu walikimbia, na sasa wamehifadhiwa kwenye nchi za magharibi. Wananchi wa Libya leo wana shida nyingi. Vifo kwa mamilioni. Nchi imevurugika, waliowatumia kuivuruga Libya wamepewa ukimbizi nchi za magharibi. Raia wa kawaida ndiyo leo wanahangaika. Waafrika weusi wamefanywa watumwa. Tuna UN, tuna EU, na tuna walio tutawala. Watu weusi wanakimbilia kwao, wanawatupa baharini, badala ya kutetea na kupaza sauti ya utumwa wavwatu weusi wanaoteswa Libya wanataka kuleta mavulugo zaidi kuchochea puppets wawo kuleta fujo kutumia jina la demokrasia ili umasikini Africa uendelee na wao waendelee kufaidika na shida za waafrika
Lazima Watanzania tuangalie sana watu wanaotuimbia democrasia ni watu wa aina gani. Je Hii demokrasia wanayoiimba ni ya kutunufaisha? Ama ya kuwanufaisha wao? Tuliona wakati Tundu Lissu alipokuwa hapa na kuwaambia watu waingie barabarani yeye ndenge ilikuwa ikimungoja. Tungekuwa wajinga tungeingia barabarani, moto ukawaka na Tundu Lissu na wote tukakuona Tundu Lissu anakimbia akishikiliwa na Wanawake wawili wakizungumkama mwali na kushindikizwa kwenye ndege. Je moto ungewaka Ubalozi wa Ujerumani ungeweza kuchukuwa Watanzania milioni 60!
Hii demokrasia wanayoiimba, kwanza tuangalie watu wanayoiimba kama wana sifa za uongozi . Wote Lema na Mbowe walikuwa wafanya biashara haramu. Kenya imekuwa nchi ya pili duniani kuuza Tanzanite kwaajiri ya Utoroshaji wa Tanzanite uliokuwa ukifanywa na Lema na Mbowe. Hawa ni wafanya biashara ambao wako kwenye siasa kujenga na kuchunga biashara zao na sio kwaajili ya Watanzania.
Nchi kama Rwanda, imekataa huu upuuzi wa demokrasia kuivuruga Rwanda. Leo RWANDA imeziaibisha nchi jirani, kwa uongozi Bora wa Kagame. Viongozi wetu kwa kuwafanya watanzania wajinga wanatowa sababu za kijinga. Kagame ameweza kwasababu Rwanda ni nchi ndogo. Wewe una nchi kubwa, yenye madini, na watu watulivu. Una bandari, una bahari, , una misitu, una kila kitu, kila kukicha unapiga tai kwenda nchi za magharibi na kukaa kwenye hoteli kubwa na bakuri, kwenda kuomba misaada Ulaya na unayekwenda kumuomba anakaa kwenye hoteli lahisi, ujinga gani huo?
Kagame hakuweza kusumbuliwa na watu kama Tundu Lissu na Mbowe na wananchi wa Rwanda wakaelewa. Wananchi wa Rwanda wengi wamemuamini Kagame kwa kazi nzuri inayoonekans sio kwa Wanyarwanda tu, bali dunia nzima. Ameibadilisha Rwanda bila ya wimbo wa demokrasia. Kagame hatishiki, hageuki, kitu kinachomusaidia ni ameifanya RWANDA kuwa nchi bora kwa kulinda mali za wanyarwanda na kupigana na ufisadi kitu kinachowauwa waafrika zaidi ya kitu chochote ikiwa pamoja na vita.
SINGAPORE: Rais wa Singapore alikataa demokrasia ya nchi za magharibi na kufuata Mila na desituri zao kuiongoza Singapore. Heshima na sheria na mafanikio yakapatikana. Nchi za magharibi zilimuita kila aina ya majina pamoja na jina maarufu la DIKITETA . Raisi wa Bwana Lee Kuan Yew, ni Rais wa kwanza wa nchi zisizoendelea wakati huo, kukataa kupokea simu ya Rais wa Marekani. Leo Singapore nchi waliyokuwa wanamuita Rais wao dikiteta, ni nchi imefanya watu wengi wa question demokrasia na kuzitia aibu nchi za magharibi na wote waliokuwa wanamuita Rais Yew dikiteta.
CHINA imekataa huo wimbo wa demokrasia angalia uchumi wao. Chama kimoja, kimewapa umoja na uchumi wa nguvu. Chama kisiwa kimoja, chenye viongozi bora na kikijenga nchi na wananchi wakaona. Mufano wa Hayati Magufuli na wengi wakaridhika maendeleo yatapatikana, wananchi wanachotaka ni haki.
Ubaya chama kimoja ama vingi, kama viongozi wana ubinafsi na hawana moyo wa kujenga nchi kwa manufaa ya wote, ni bure kabisa.
Watanzania tungekuwa bado tuna Rais wetu Hayati Magufuli kwa mwendo aliokuwa akienda, watu watubwalimpenda, watu walimuamini, na kweli Tanzania ingeweza. Kwa sasa tuko njia panda, Hata viongozi wetu wameaanza kutusemesha kizungu lugha ambayo hatuelewi, hata wenyewe wanaizungumuza kwa shida.
Mungu ibariki Tanzania.