johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tutakujibu.. hapa anaweza kuratibu yafuatayoKiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Kilichokuwa kinafanywa na Trump ni kuvamia bunge, kitu ambacho ameshindwa vibaya kulidhibiti na kufanya liamua atakavyo yeye.Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Hii point Mataga hawataki kabisa kuisikia!Watapita tu kama hawaioni!Huku hata Rais aamue kuua raia wake wanaompinga,bado vyombo vitaendelea kumnyenyekea na pengine vyenyewe ndio vikawa vinatekeleza unyama huo!Marekani unakuta hata FBI wanamchunguza Rais kama ana tuhuma mbaya!Mahakama unakuta haimtumikii Rais badala yake hoja na ushahidi ndio vinaamua kesi!Alichokifanya Trump ndio kinachofanyika hapa Tanzania, ila Trump ameshindwa huo uhuni wake maana huko rais sio mungu kama hapa Tanzania, na huko taasisi zina nguvu kuliko madaraka ya rais.
Mmmm!!!!unanichanganya ujue.Tutakujibu.. hapa anaweza kuratibu yafuatayo
1. kupotea kwa watu akina Ben Saanane,
2. kupigwa risasi akina Lisu
3. Nikupe gari etc halafu umtangaze mpinzani mshindi
4. Wizi wa kura za serikali za mitaa
5. Wizi wa kura za urais
6. etc etc....................................
By the way habari za mwaka mpya? Upo?
Mkuu huwa unaisoma vizuri historia? Kwamba Trump ndo anakuwa rais Wa kwanza kukalia term moja ya uraisHuwezi kulinganisha mwalimu na mwanafunzi. Kilichokea ni matokeo ya kumpa uhuru kupitiliza rais ambae kichwani hayupo vizuri.
America amekuwa mfano wa democracy miaka na miaka. Trump anakuwa rais wa kwanza kutawala muhula mmoja.
Na hili sio tatizo za institution za america.. bali rais mwenyewe ni jipu.. ndio maana kaondolewa
Yaani wewe elimu yako ndogo demokrasia siyo matakwa ya kiongozi wa nchi na chama chake bali ni matakwa ya wananchi wote kwa ujumla wao hivyo andiko lako halina mantiki.Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Trump sio rais wa Kwanza kuongoza muhula mmoja wapo karibia Marais 7 nyuma yake waliongoza muhula mmoja, mbaya zaidi Kuna wawili hata nusu muhula hawakuumaliza walishinikizwa na bunge wajiuzulu kwa blanda tofautitofauti zilizotekea mwanzo mwanzo wa utawala wao!Huwezi kulinganisha mwalimu na mwanafunzi. Kilichokea ni matokeo ya kumpa uhuru kupitiliza rais ambae kichwani hayupo vizuri.
America amekuwa mfano wa democracy miaka na miaka. Trump anakuwa rais wa kwanza kutawala muhula mmoja.
Na hili sio tatizo za institution za america.. bali rais mwenyewe ni jipu.. ndio maana kaondolewa
Fantastic point,be blessed.Alichokifanya Trump ndio kinachofanyika hapa Tanzania, ila Trump ameshindwa huo uhuni wake maana huko rais sio mungu kama hapa Tanzania, na huko taasisi zina nguvu kuliko madaraka ya rais.
Safi sanaHehehe... imebidi nicheke kicheko cha dharau mno.
Nchi zilizostaarabika kisiasa zinaendeshwa kwa mifumo na taasisi imara.
Hakuna mambo ya sijui mzizi umejichimbia ardhini. Mara sijui "muhimili wangu" umejikita matopeni.
Mahakama imemdhibiti Trump ipasavyo. Alitaka kuleta ulevi wake akarudishwa kwenye MSTARI.
Bunge ndio likammalizia kabisa. Kama ni jeneza basi nyundo imeshindilia msumari wa mwisho.
Ndio maana anababaika anajaribu kuwatumia manyumbu walete ghasia. Those are the last kicks of a dying horse. KWISHA HABARI YAKE.
Hakuna cha mzizi umejichimbia matopeni.
Huko Tanganyika, ndugai anaamrishwa jinsi mfalme atakavyo. Na hana jeuri ya kuleta fyoko. Athubutu aone!
Nchi inaendeshwa kama geto la machokoraa!
Tatizo lako hujui kutofautisha kati ya chizi na Rais, Trump yule ni chizi alieingia madarakani kimakosaKiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!