How?Mmmm!!!!unanichanganya ujue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How?Mmmm!!!!unanichanganya ujue.
Umeandika vizuri sana, bravo!Hehehe... imebidi nicheke kicheko cha dharau mno.
Nchi zilizostaarabika kisiasa zinaendeshwa kwa mifumo na taasisi imara.
Hakuna mambo ya sijui mzizi umejichimbia ardhini. Mara sijui "muhimili wangu" umejikita matopeni.
Mahakama imemdhibiti Trump ipasavyo. Alitaka kuleta ulevi wake akarudishwa kwenye MSTARI.
Bunge ndio likammalizia kabisa. Kama ni jeneza basi nyundo imeshindilia msumari wa mwisho.
Ndio maana anababaika anajaribu kuwatumia manyumbu walete ghasia. Those are the last kicks of a dying horse. KWISHA HABARI YAKE.
Hakuna cha mzizi umejichimbia matopeni.
Huko Tanganyika, ndugai anaamrishwa jinsi mfalme atakavyo. Na hana jeuri ya kuleta fyoko. Athubutu aone!
Nchi inaendeshwa kama geto la machokoraa!
Trump ameshindwa huo uhuni wake!Alichokifanya Trump ndio kinachofanyika hapa Tanzania, ila Trump ameshindwa huo uhuni wake maana huko rais sio mungu kama hapa Tanzania, na huko taasisi zina nguvu kuliko madaraka ya rais.
Namefurahi kwakuwa unajua ukipewa uhuru bila mipaka ni fujo.Huwezi kulinganisha mwalimu na mwanafunzi. Kilichokea ni matokeo ya kumpa uhuru kupitiliza rais ambae kichwani hayupo vizuri.
America amekuwa mfano wa democracy miaka na miaka. Trump anakuwa rais wa kwanza kutawala muhula mmoja.
Na hili sio tatizo za institution za america.. bali rais mwenyewe ni jipu.. ndio maana kaondolewa
Acha kutulisha matango-pori. Harry Truman, Richard Nixon, Lyndon Johnson, Jimmy Carter, George H.W. Bush na wengine wengi walitawala muhula mmoja tu.Huwezi kulinganisha mwalimu na mwanafunzi. Kilichokea ni matokeo ya kumpa uhuru kupitiliza rais ambae kichwani hayupo vizuri.
America amekuwa mfano wa democracy miaka na miaka. Trump anakuwa rais wa kwanza kutawala muhula mmoja.
Na hili sio tatizo za institution za america.. bali rais mwenyewe ni jipu.. ndio maana kaondolewa
Acha uongoKiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
HUNA AKILI KWA HERUFI KUBWAAlichokifanya Trump ndio kinachofanyika hapa Tanzania, ila Trump ameshindwa huo uhuni wake maana huko rais sio mungu kama hapa Tanzania, na huko taasisi zina nguvu kuliko madaraka ya rais.
Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Heri ya mwaka mpya kwako pia bwashee!Tutakujibu.. hapa anaweza kuratibu yafuatayo
1. kupotea kwa watu akina Ben Saanane,
2. kupigwa risasi akina Lisu
3. Nikupe gari etc halafu umtangaze mpinzani mshindi
4. Wizi wa kura za serikali za mitaa
5. Wizi wa kura za urais
6. etc etc....................................
By the way habari za mwaka mpya? Upo?
Wananchi wenyewe ndio hawa wanaompuuza Tundu Lisu na wanamsikiliza Trump kwa swala lile lile!Yaani wewe elimu yako ndogo demokrasia siyo matakwa ya kiongozi wa nchi na chama chake bali ni matakwa ya wananchi wote kwa ujumla wao hivyo andiko lako halina mantiki.
Kwa Tanzania Rais analielekeza bunge cha kufanya na linafanya, kwanini tena ahamasishe maandamano dhidi ya bunge wakati linatekeleza aichokiakiagiza?...... yahani us wangekuwa kama Tz au chini ya Tz kidemokrasia, Trump angejichukulia mhula mwengine.Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
KimaKiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Tal!Kima
Marekani imefedheeka sana kuhusu uchaguzi waoHehehe... imebidi nicheke kicheko cha dharau mno.
Nchi zilizostaarabika kisiasa zinaendeshwa kwa mifumo na taasisi imara.
Hakuna mambo ya sijui mzizi umejichimbia ardhini. Mara sijui "muhimili wangu" umejikita matopeni.
Mahakama imemdhibiti Trump ipasavyo. Alitaka kuleta ulevi wake akarudishwa kwenye MSTARI.
Bunge ndio likammalizia kabisa. Kama ni jeneza basi nyundo imeshindilia msumari wa mwisho.
Ndio maana anababaika anajaribu kuwatumia manyumbu walete ghasia. Those are the last kicks of a dying horse. KWISHA HABARI YAKE.
Hakuna cha mzizi umejichimbia matopeni.
Huko Tanganyika, ndugai anaamrishwa jinsi mfalme atakavyo. Na hana jeuri ya kuleta fyoko. Athubutu aone!
Nchi inaendeshwa kama geto la machokoraa!
Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa hiyo ndiyo demokrasia, yaani rais anachochea maandamano badala ya kuyazuia. Nadhani umeongea kinyumeWewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Aisee!Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Nani kasema, waloruhusiwa kupanga nyanya ndani ya ofisi ya meya!Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.
Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?
Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.
Maendeleo hayana vyama!
Ubarikiwe sana BwasheeHeri ya mwaka mpya kwako pia bwashee!
Kubali kataa Trump angekuwa anaongoza nchi kama Tz, angeshatangazwa kuongoza mingine tena. Ni kutamka na inakuwa kama afanyavyo Magufuli.Trump ameshindwa huo uhuni wake!
Kinachofanyika huko USA ni sawa na hapa Tanzania? Yaani unafananisha ustaarabu wa hapa bongo na nchi ya kishenzi? Ambayo watu wapuuzi wanaovunja na kuvamia bunge?