demu aliepo online sahivi ni wife material?

demu aliepo online sahivi ni wife material?

Jamaa anaweka thread kila baada ya nusu saa

Kweli hili ingizo la jf february limekuja na kimbunga
 
wakuu,wakuu,naskia mademu wengi wanaokua online mpaka mida hii wanakuaga na stress,lonely au single mana alienabwana hawez kuwa online mpaka mida hii...... nawaona nawaona kina naniu nimewaona mnakula tu ubuyu pm
Naona hapa umeambulia kushambuliwa. Mkuu jiwe gizani limewapata wahusika.
 
Wewe uliye online muda huu ni domo zege mixer shoga au hanithi?

Hivi mkuu kwa siku unapost mara ngapi?au ndio uhuru wa kutumia JF?
Hapo umempatia baby nilishamwambia sana ila
Jamaa anaweka thread kila baada ya nusu saa

Kweli hili ingizo la jf february limekuja na kimbunga
Hahaaaa nokia tochi bwana
 
Akili finyu.
We unadhani kila alie online ni jirani yako ?

Hujui ya kwamba usiku wako wa manani wengie ndio wanaamka, wengine ndio jioni na wengine chai ya saa nne tayari.
 
HR 999 kapata msaidizi sijui mods wanalipa mtu akipost thread nyingi
 
Back
Top Bottom