Demu wangu
Wewe ni Mtanzania halisi...majisifu na majigambo ni jadi yetu...tehtehtehtehteh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demu wangu
Sina mzuka na Mpira wa hapa nyumbani na Africa mzima ila Jana sijui kwa nini niliumia kiasi hicho.
Anaitwa Beatrice Nani? Kaka funguka zaidiHuyo Binti Anaitwa Beatrice ni mzaliwa wa Tanzania baba ake akiwa raia wa SA na mama ake akiwa Mtanzania though amezaliwa Tanzania ila familia yake waliamua kuhamia SA kimakazi mwaka 2004 akiwa na miaka 12
Mzee wake tulimfahamu zaidi kama Mr.Lethabo, Last time Beatrice alikuja Tz mwaka juzi na mdogo wao wa kikeAnaitwa Beatrice Nani? Kaka funguka zaidi