Demu aliyenyanyuka kushangilia faulo ya Taifa Stars akidhani penati

Huyo Binti Anaitwa Beatrice ni mzaliwa wa Tanzania baba ake akiwa raia wa SA na mama ake akiwa Mtanzania though amezaliwa Tanzania ila familia yake waliamua kuhamia SA kimakazi mwaka 2004 akiwa na miaka 12
Anaitwa Beatrice Nani? Kaka funguka zaidi
 
Anaitwa Beatrice Nani? Kaka funguka zaidi
Mzee wake tulimfahamu zaidi kama Mr.Lethabo, Last time Beatrice alikuja Tz mwaka juzi na mdogo wao wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…