Demu ananiomba anilalie zipuni!!


Kataa kabisa ndugu yangu, hizo ni baadhi ya sababu zinazopelekea ajari barabarani wee unategemea ukimkalisha hilo gari litaendelea kusimamiwa na roho mtakatifuu?
 
Haya karibuni mwanza, siku hizi huku maisha magumu afadhali ya huko mtokako..
 
Kweli kabisa.... mandieta naona kaamua tu kutukip busy hapa jamvini, ngoma keshaicheza mwenyewe tayari.
Sijui anataka tumsaidie nini!!
 
sa hujaelewa nini mpaka sasa...je angekuomba aukalie,? si ndo ungetangaza hata ndani ya basi...hilo swala liko NUDE...acha aulalie na mwanza ashuke umpe kampani...finito.
 
Kamata mtoto huyo ukifika buzurugwa kamata Guest utandike mpaka asubuhi
 

Hadithi, hadithi? Hapo zamani za kale alikuwepo sungura mmoja...
 
Naombeni mnifundishe neno zuri lakumwambia ili tushuke TINDE nipige mzigo mpaka bujee!!
Maana anazidisha dharau sasa,yani ananiambia mkojo umembana tukifika dom cha kwanza toilet?
 
Mkuu tafakari, chukua hatua. Kuna Jamaa tena mwenye hadhi kubwa tu katika jamii, aliingizwa matatani. Alienda na mke wa mtu hotelini, kumbe mume kapanga na mke wake jinsi ya kupata pesa. Baada ya kuingia ndania na mwenye mke kufahamu kuwa wako katika maandalizi ya mechi lakini hawajaanza, jamaa kagonga mlango na marafiki zake mabaunsa. Wakataka kumla Kiboga wakati wakichukua picha. Pesa yake ndio ilimuokoa. Sasa na wewe kuwa makini, huenda mume wa huyo msafiri mwenzio yuko humo anachora kila kitu. Watu wenyewe wa Musoma !!! Weeeee, kama utalala naye Mwanza, piga simu sasa hivi Bugando wakuwekee chumba cha kupumzika baada ya kupigwa mapanga usiku.
 
Naombeni mnifundishe neno zuri lakumwambia ili tushuke TINDE nipige mzigo mpaka bujee!!
Maana anazidisha dharau sasa,yani ananiambia mkojo umembana tukifika dom cha kwanza toilet?

mkuu hebu niambie anaupara kichwani??
Kwasababu waliotoka Moshi juzi wanaupara mkuu!
 
Mida ya lunch hii twende Upanga pale karibu na Dar west au twende kwa Chips Eddo?
Mie ntakula chicken thigs, wee kula chicken breast na kitovu.

Umenionyesha sehemu nyingine pa kuulekezea mpera...ukija kwangu leo nitajaribu nione utajisikiaje!!
 
Mida ya lunch hii twende Upanga pale karibu na Dar west au twende kwa Chips Eddo?
Mie ntakula chicken thigs, wee kula chicken breast na kitovu.
Lunch leo nataka nikupeleke sehemu ya ukweli...Nitakupitia twende zetu Joly...wana yama ya mbuzi ya ukweli.
Jion ndio utakula maziwa ya kuku!!
 
Tupo Dom sasa,ngoja nipate lunch kwanza then niibust akiri na konyagi kisha nimsikilizie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…