Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini umemjibu labda anamjua ni bibi yake huyo...lol
Mh.......amna aise.......unajua wajeda huwa hawaachii kirahisi.
Mm mwenyewe nashangaa yaliyonitokea.
Usikonde mkuu,si unajua tena mtoto mwenyewe ni kama zali la mentali?mkuu,kwa hiyo wewe unadhani ndio mwanaume mkali duniani kwa mambo hayo?kama siyo basi ujue kwa jinsi ulivyompata kilaini kuna wenzako wengi tu walishafanya hayo kwa huyo bint long kitambo!nenda naye kwa machale!ila umeniuzi sana kupiga kavu!mtu hata hujui kama hilo dege linaliwa au la we unakula tu!utakula kunguru!
Mtoto nshamuweka moyoni mkuu!Take care, wengine vibaka. Kuwa na pete, na kufanya kazi wizara ya ulinzi si ki2. Usije mpa coy. Asubuhi ukaamka hata nguo ya ndani huna!
Mmmh! Siku nyingine panda ndege uepuke huo usumbufu. Lol.
Asemayo Mendieta yawezekana as far as ukubwa wa seat is concerned haswa kwa mabasi yenye 2x2 seats, yenyewe kidogo ni spacious. Uhalisia wa simulizi kwa upande mwingine bado ni .............
nafanya bado mahesabu ya ukubwa wa siti...kama ni siti ya watu wawili maana yake hawezi kukulalia kichwa kikafika mapajani, labda akuegemee kifuani. Na kama ni siti ya watu watatu bado haniingii akilini...otherwise she is a dwarf
ukubwa wa siti zetu ni huu
au hapa...
View attachment 51588
siti za magari yetu zingekuwa hivi ningekubaliana na wewe
mi nashauri mchomolee aione ukubwa wake, usingizi utakata ghafla!