Demu ananiomba anilalie zipuni!!

Demu ananiomba anilalie zipuni!!

Mwenzenu alikuwa safarini na akitaka msaada juu ya huyo dada aliyesafiri naye na tayari walishafika kwenye safari yao.
SO NO COMMENT COZ UHONDO ULISHAPITA.
 
Mh.......amna aise.......unajua wajeda huwa hawaachii kirahisi.
Mm mwenyewe nashangaa yaliyonitokea.

mkuu,kwa hiyo wewe unadhani ndio mwanaume mkali duniani kwa mambo hayo?kama siyo basi ujue kwa jinsi ulivyompata kilaini kuna wenzako wengi tu walishafanya hayo kwa huyo bint long kitambo!nenda naye kwa machale!ila umeniuzi sana kupiga kavu!mtu hata hujui kama hilo dege linaliwa au la we unakula tu!utakula kunguru!
 
Take care, wengine vibaka. Kuwa na pete, na kufanya kazi wizara ya ulinzi si ki2. Usije mpa coy. Asubuhi ukaamka hata nguo ya ndani huna!
 
Usikonde mkuu,si unajua tena mtoto mwenyewe ni kama zali la mentali?
Kwa kumuangalia tu nilibaini yuko fiti so mzee nikafakamia chai bila kuichuja.
Mtoto ana mautamu kaka usipime lol!
 
Take care, wengine vibaka. Kuwa na pete, na kufanya kazi wizara ya ulinzi si ki2. Usije mpa coy. Asubuhi ukaamka hata nguo ya ndani huna!
Mtoto nshamuweka moyoni mkuu!
Nilivyoona identity yake ya ujeda sikua na wasiwasi nae tena,kesho ntamtokea tena kwenda kumuaga bcoz by monday ntakua narudi Dar.
 
Mmmh! Siku nyingine panda ndege uepuke huo usumbufu. Lol.
 
j,mosi naingia na mtoto Dar then moja kwa moja mpaka geto for 3 weeks,msiniulize habari za condom pls.
 
Mkuu acha Fix, hii story ya kutunga, bora hata hii post ingekuwa posted over the phone kidogo ungeelewewka
Acha Fix Mkuu
 
Kama ni kulala tuu haina neno na wewe pia unae laliwa inakuwaje uhisia za ghafla hivyo yako ukuguswa hapo tuuu ndio ohhhhh unagutushwa?
 
Asemayo Mendieta yawezekana as far as ukubwa wa seat is concerned haswa kwa mabasi yenye 2x2 seats, yenyewe kidogo ni spacious. Uhalisia wa simulizi kwa upande mwingine bado ni .............

acheni majungu nyinyi, coaster za Mwenge Posta watu huwa wanalaliana itakuwa hilo basi tena Zuberi?
 
nafanya bado mahesabu ya ukubwa wa siti...kama ni siti ya watu wawili maana yake hawezi kukulalia kichwa kikafika mapajani, labda akuegemee kifuani. Na kama ni siti ya watu watatu bado haniingii akilini...otherwise she is a dwarf

ukubwa wa siti zetu ni huu
au hapa...
View attachment 51588
siti za magari yetu zingekuwa hivi ningekubaliana na wewe

rejao bwana, pipozzzzzzzzzz...................
 
Jamani! makubwa hayo au ww umemuwazia tu mwenzako,maana kwenye siti ya watu wawili anakulaliaje
 
mbavu zangu jamani.. hapo kwa mpera kuelekea sikioni tuu hahah hahaaa
 
Back
Top Bottom